Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,472
- 122,791
Who is next kuondoka cdm au kuwa mjumbe wa kamati kuu kujaza nafasi ya Lowassa? Afafanue
A good question to begin with.Sasa hivi ndio mnakiri kura milioni sita zilitokana na kazi nzuri ya viongozi waliokuwepo mbona mlikuwa mnamshambulia Dr. Slaa
Sasa hivi ndio mnakiri kura milioni sita zilitokana na kazi nzuri ya viongozi waliokuwepo mbona mlikuwa mnamshambulia Dr. Slaa
Magugu huota na wakati mwingine hustawi zaidi ya mazao halisi
Vyovyote iwavyo, ilikutambuwa kwamba cdm IPO, na IPO imara kabisa .....
Tuache democrasia ichukuwe mkondo wake
Tuwape watu Uhuru Wa kufanya siasa
Tuache sanduku la kura kuamua kihalali
Amini nawaambieni Ccm haiwezi kupata zaidi ya 20% kwenye uchaguzi wowote
Ni polisi, wakuu Wa mikowa/wilaya nk. Otherwise hakuna Ccm bila nguvu za dola
Who is next to depar from the chadema's party,aka "ufipa's saccos",answer please!Who is next kuondoka cdm au kuwa mjumbe wa kamati kuu kujaza nafasi ya Lowassa? Afafanue
Who is next to depar from the chadema's party,aka "ufipa's saccos",answer please!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka kununua chademaLowassa kanunuliwa wakuu.
Yes, life goes on, i'm sure you know who is next ,but to what extent this situation affects your party for the coming election 2020?,Who knows? Departing is not our concern and will not be. Nothing we can do about that as this is somebody's wish. Even if is Mbowe is quite ok with us, as that situation will not be the end of life. Do you have another question, do you?
Yes, life goes on, i'm sure you know who is next ,but to what extent this situation affects your party for the coming election 2020?,
"Mashinji is the next"
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema bado mu wachanga sana kwenye siasaHoja yako ni nini hapa?
Chadema bado mu wachanga sana kwenye siasa
Chahali kwanini unateseka na Chadema , chama ambacho hakijawahi kukupa maisha ?Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.
Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.
Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.
Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.
Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.
Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.
Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.
Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.
Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.
Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo siri jibu lako kwa Chahali limetulia. Ni mmoja aliyeshindwa na mfumo amejipachika na usemaji wa masuala yaliyomshinda. Naomba next awe yeye arejee au arejeshwe kwenye kitengo hata apandikizwe CHADEMA akumbane na akili kubwa. .Chahali unachekesha kweli, inaonekana umejigeuza wa kuwa SI Unit ya ukweli, kwamba unachosema ww ndio ukweli na hakuna ruhusa ya mtu yoyote anayepaswa kuwa tofauti na unachosema.
Unasema kwamba cdm na ccm wote ni maadui wa ukweli na ukweli huo unaosema hawautaki ni huo unaousema ww! Ni kweli una haja za hapa na pale, lakini haimaanishi mtu akiutaka ukweli basi ataupata kwako.
Tuje kwenye hoja yako ya kuhusu Lowassa, unaonyesha cdm itaathirika kwa Lowassa kuondoka, lakini huonyeshi ni kwa vipi uwepo wa Lowassa ndani ya cdm ulileta mafanikio. Lowassa alipata kura 6m+ akiwa na miezi mitatu tu ndani ya cdm. Ukweli ambao unaifumbia macho ni kuwa Lowassa alipata kura zile sio kwa uwezo wake bali cdm yenyewe ilikuwa imeshapata imani ya wananchi, hivyo yoyote angepata kura hata zaidi ya zile. Tuangalie mchango wa Lowassa baada ya uchaguzi. Ni lini uliwahi kumuona Lowassa akifungua tawi jipya la cdm au hata kupokea wanachama wapya? Cdm imekuwa ikilalamikiwa kwa kutokuwa na ofisi ya hadhi yake, mbona Lowassa haikujenga basi hata ofisi mpya yenye hadhi ya cdm ili mchango wake uonekane? Lowassa hakuwahi kuwa mpinzani na hatakaa awe mpinzani, yeye alipokosa nafasi ccm akatoa hela zake kuwapa viongozi wachache wa cdm wenye tamaa na kupewa nafasi hiyo, ila ukweli hakuwa na mapenzi yoyote na cdm.
Suala la ww kutukanwa, kila mtu humu hutukanwa na kusifiwa kulingana na hoja yake na maslahi ya hiyo hoja yake kwa kundi husika. Hivyo hoja ya kutukanwa kwa ukweli unaosema ni hoja mfu. Unasema baada ya Lowassa who is next. Kwani Lowassa alikuwa na nafasi gani ya kiutawala ambayo kwa kuondoka kwake kunahitaji kupigiwa kura ili ijazwe? Una mawazo ya kawaida usitake kujikweza kwamba una maoni mazuri sana.
Evarist kuwa mkweli kwa nafsi yako !!. Cdm wafanye nini kwa chama kisicho na dola. Tena iliyodhibitiwa kufanya hata shughuli zao za ndani acha siasa ?!.Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.
Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.
Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.
Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.
Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.
Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.
Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.
Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.
Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.
Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Agreed,if his performance is poor,why are still up with him?, are you waiting to insult him after depar, as you do now to Lowassa?If the next one is Mashinji I will be more than happy, this guy so far he has poor efficiency in the office. I'm pretty sure cdm will benefit from his departure. Let's pray before God for this move to materialize. About 2020 general election only free and fair election will give us true results.
Dr. Mashinji sijui anasubiria nn?Mbobezi wa utabibu kushinda anazururulishwa na akina Mbowe ni aibu sana kz hiyo amuachie ESTHER Matiko Akina Mama huwaga ni wavumilivu sana.Dr Mashinji...... Kabla ya tarehe 10 march!
Ndio hapo sasa.Hata wewe jasusi mzoefu hujui!