moto nkali
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 378
- 216
zifuatazo ni baadhi ya sababu za msingi
*utapata (taaluma) au ujuzi kimapana zaidi kama ww ni mtafutaji mzuri.
*mazingira mazuri ya kuishi na kujifunzia pia.
*hali ya hewa ni nzuri, japo kunakuwa na vumbi kidogo wakati wa kiangazi.
*hakuna gharama kubwa za maisha, hivyo unapata unafuu kidogo
*watu wa mbeya ni wakarimu kwa wenyeji na wageni pia!
Hayo ni machache tu, kwa mapana tutaelezana kama utataka kujua zaidi ya hapo.
KARIBUNI SANA
Ahsanteni!