Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 744
Habari za jioni wakuu.
Nimepigiwa simu na mshikaji wangu akanambia mahali ninapo fanya kazi kunamercury huwa inakuwa supplied pale, any way mimi sijui ninatakiwa kufanya uchunguzi ili nijue inapatikana sehemu gani na kwanini wanasupply coz najua mercury ni poison.
Swali langu wakuu hivi huku mtaani siku hizi mercury inatuka kutengenezea nini?
Isije kuwa inatumika kutengenezea sumu zikaua watanzania wenzangu lakini hata kama inatumika kutengenezea vipodozi bado sipo tayari kumsaidia ili awaharibu watanzania. Coz kwa jinsi alivyoniapproach anaonelkana ni deal la siri sasa nataka kujua. Yeye kagoma kuniambia inatumika katika nini. Nisaidieni wakuu coz humu jf najua tunatokea katika mazingira tofauti.