King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,151
- 95,874
Housegirl aka Mercury ni dili za kizamani sana zilitumika kutapeli watu,ila stuka jamaa anataka kukuibia hana lolote mkuu.
Mercury deal kubwa sana gram 1 inafika mil.40 haipatikani kirahisi hiyo kitu!!daahh umenikumbusha hatari kubwa sana wakati naitafuta!!!
How?Hiyo mercury ninayo mimi nitafute
Tupe infoMercury deal kubwa sana gram 1 inafika mil.40 haipatikani kirahisi hiyo kitu!!daahh umenikumbusha hatari kubwa sana wakati naitafuta!!!