OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,238
- 103,908
Kuna mwaka ambao Simba Koko hakukamata Headlines mwanzo wa msimu?Watani msimu huu mpo moto kwenye usajiri
We jamaa nakupa salute,anyway ,simba kweli ni taifa kubwa.Hongereni wanaMsimbazi kwa usajili...Tukutane msimu ujao watani wenzangu
Na ngoma piaBado NyonziMa
Huo mwaka unaujuwa wewe, subirini simba,azam na Singida united tumalize kusajili ,nyie mtasajili badae,Kuna mwaka ambao Simba Koko hakukamata Headlines mwanzo wa msimu?
Unauhakika?Manula hana akili
Hivi mwaka huu hawaendi Uturuki?Huo mwaka unaujuwa wewe, subirini simba,azam na Singida united tumalize kusajili ,nyie mtasajili badae,
Itakuwa uturuki ya kimbiji,Hivi mwaka huu hawaendi Uturuki?
Mpaka muda huu Mo kawakopesha kiasi gani?Mmeshaanza kumlipa manji?
Utatuelewa tu mwaka huuHongereni wanaMsimbazi kwa usajili...Tukutane msimu ujao watani wenzangu