Deal Done:Aishi Manila asaini miaka miwili Simba SC

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,078
114,606
Habari za uhakika zilizonifikia hivi punde ni kwamba yule golikipa hatari na namna moja kwa Tanzania Aishi Manula amesaini timu kubwa Afrika Mashariki na Kati Simba SC

Manula amesaini miaka miwili kukipiga katika timu hiyo inayotegemewa kuwa mwakilishi wa uhakika kimataifa

Hongera Zakaria Hans Pope
 
Aishi Manula yule wa Azam hatakuwa wa Simba.
Akifungwa Dar Derby moja tu, kwisha habari yake!
Utasikia kauza mechi
 
Back
Top Bottom