Na hii itatupa data kwamba kila mwenye leseni kanusurika kifoHapo ndo ingekuwa sehemu ya mwisho kwenye driving test kabla ya kukabidhiwe leseni
Somewhere in India
vipi kuhusu kitonga huwa huogopi?...acheni masiara na uhai mazeee,njia kama unaingia kwenye jeneza,kama vipi nakula fastjet tu...
Hapo ndo ingekuwa sehemu ya mwisho kwenye driving test kabla ya kukabidhiwe leseni
...kiongozi afadhali kitonga nimeizoea sana,hii mkuu ni handaki,ukipiga pasi ukuta linashuka zimazima...vipi kuhusu kitonga huwa huogopi?
...kwa uelewa wangu mdogo juu ya uadilifu wa jeshi letu,na kwakuwa wabongo wengi hupenda shortcut, hapo ndipo ungekuwa mgodi wa dhahabu wa kutajirikia trafiki...Hapo ndo ingekuwa sehemu ya mwisho kwenye driving test kabla ya kukabidhiwe leseni