Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,552
Jamani kutoka na kizazi cha mbu kukithiri naomba muongozo nitapataje dawa ya DDT ili niue mbu jamani tunakuta kwa mbu.
DDT ni nadra kuipata siku hizi inapigwa vita kutokana na madhara yake kwenye mazingira na viumbe hai.Jamani kutoka na kizazi cha mbu kukithiri naomba muongozo nitapataje dawa ya DDT ili niue mbu jamani tunakuta kwa mbu.
DDT ni nadra kuipata siku hizi inapigwa vita kutokana na madhara yake kwenye mazingira na viumbe hai.
Tafuta Actellic CS300 inatumika kama mbadala wa DDT.
Tafuta dawa za kuua mbu zinazouzwa na kile kiwanda cha chemicals za pale kibaha pwani kipo chini ya ndc.Jamani kutoka na kizazi cha mbu kukithiri naomba muongozo nitapataje dawa ya DDT ili niue mbu jamani tunakuta kwa mbu.
Inauzwa kwenye packet au chupa na ina maelezo namna ya kutumia kawaida ni kwa kuchanganya packet au chupa nzima kwenye lita 10 za maji na kunyunyiza ukutani na kwenye ceilings. Itadumu kwa muda wa miezi 6-9 na kuua mbu wote wanaotua sehemu hizo.Somo zuri hili, naitumiaje kuangamiza mmbu maana nami ni mhanga
Google ipo mingi Sana,pia wawezatumia hata vifaa maalumu vya kuzuia au kuuwa mbuHivi hakuna mimea inayofukuza mmbu jamani maana haya madawa nayo yana changamoto zake
Hiki kiwanda bado manufaa yake ya kuanzisha hayajaonekana.Tafuta dawa za kuua mbu zinazouzwa na kile kiwanda cha chemicals za pale kibaha pwani kipo chini ya ndc.
Hiki kiwanda bado manufaa yake ya kuanzisha hayajaonekana.
Nadhani ni kutokana na mabadiliko ya utawala na vipaumbele vyake.
Naamini Kikwete angekuwepo mbu na Malaria hivi Sasa wangekuwa historia. Maana kila usiku alitukumbusha tufunge chandarua.
Hicho kiwanda kilicho chini ya NDC kinaitwa Tanzania Biotech Products Limited (TBPL). Wao utengeneza viuadudu au dawa za aina mbili ambazo ni BACTIVEC na GRISELESF. Kazi kubwa ya viuadudu hivyo ni kuangamiza mazalia ya mbu hasa kipindi cha mvua. Waliokwisha zitumia wanadai zinafaa sana.Tafuta dawa za kuua mbu zinazouzwa na kile kiwanda cha chemicals za pale kibaha pwani kipo chini ya ndc.