Naona ndugu yangu Ntuzu hukunielewa, Nilikuwa namjibu Ndg Uncle Deo kama alivyosema hapo chini. Hata hivyo ukipitia vizuri maoni/maswali yangu utaona hatutofautiani nawe, ona bold na italic mwishoni.
"Quote By Uncle Deo View Post
Narudia kusema ugaidi hauwezi kuwa ugaidi mpaka uchunguza ufanyike na kubaini kuwepo kwa mazingira ya ugaidi tukio haliwei kuitwa ugaidi kabla ya kuwepo vibainishi vya ugaidi.
Nikamjibu hivi: "Je, uchunguzi wa siku moja umebainisha kuwa tukio lile siyo la Kigaidi? Kama ndiyo kwa nini matuko mengine yanachukua wiki, miezi kabla ya Tamko? Kama wameshatoa ufafanuzi huu mapema ikija kubainika ni la kigaidi watasemaje?. Kama matukio mengine yanayo fanana na hilo wanasema ni matukio ya kigaidi why this not?