blessed Fanikio
Senior Member
- Dec 20, 2017
- 127
- 115
Bado inatafutwa formation
FafanuaTetesi ya siku nyingi hii , wasalimie makao makuu, Mwanza tutakumiss sana japo wenye wake zao watafurahia uhamisho huu
Huyo alikua DCP hawezi kupanda tena akipanda hapo ujue anakua Full Commissioner!Hii inamana amepanda cheo kutoka assistant commisioneř to commisioner
Pardon?Alikuwa DCP anaenda kuwa CP wewe unasema ni demotion?? Serious?
Yaani makamanda mu waoga kiasi hiki! Mnaanza kumuogopa askari mmoja tu!eti mtu aliyetajwa utekaji wa Ulimboka anapewa kitengo kama hiki !
Commissioner gani? ACP? SACP? DCP? CP?mshahara wenyewe ni mshshara basi..huwezi amini commissioner wa polisi analipwa basic salary 2,300,000/=
Kumbe mshahara wa kijinga ivo lakin wanajifanya miungu watuHuo ni mshahara wa Acp kwa ninavyo sikia
nimekupataUnakumbuka ule wimbo wa Feruzi wa starehe zimemuweka matatani?
Duuuu hiyo si dili la saa moja tu pale mwalonimshahara wenyewe ni mshshara basi..huwezi amini commissioner wa polisi analipwa basic salary 2,300,000/=
Huyu jamaa namkumbuka sana kwa roho yake ilivyo, tangia akiwa mkuu wa upelelezi wilaya kituo cha usariver.Ulimboka akimsikia huyo makalio na roho inamuuma..bingwa wa utesaji huyo tangu Chuga! halafu physical appearance yake na matendo vitu mbili tofauti..na ile rav 4 yake akiwaga dar anayo pigia misele!
Lazima awe hivyo si unajua ye kutwa ana deal na mabandiduHuyu jamaa namkumbuka sana kwa roho yake ilivyo, tangia akiwa mkuu wa upelelezi wilaya kituo cha usariver.
Ila machoni kama binadamu vile.
Bora aondoke tupumue, hebu jiulize kutoka geita sengerema mwanza kulikuwa na trafik 42 na check point saba kweli? walikuwa wanakagua nini cha zaidi? kutoka mwanza magu hadi nyashimo kulikuwa na trafik 36 na vituo nane vya ukaguzi wa magari ni nini kilichokuwa kinatafutwa? kama sio kubambika watu makosa ya barabarani?Amehamishiwa Makao Makuu na kuwa kamishna wa kitengo cha makosa dhidi ya binadamu.
----
Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwenye jeshi hilo na kumuondoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza (DCP) Ahmed Msangi na kumhamishia makao makuu ya jeshi hilo.
Taarifa iliyotolewa leo, Jumatano Agosti 15, 2018 na Msemaji wa polisi, Barnabas Mwakalukwa imeeleza kuwa Msangi amehamishiwa makao na kuwa Mkuu wa kitengo cha makosa dhidi ya binadamu makao ya upelelezi Dar es Salaam.
Mwakalukwa amesema nafasi ya Msangi imechukuliwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jonathan Shana.
“Nafasi wa Shana imechukuliwa na Kamanda Wankyo Nyigesa aliyekuwa mkuu wa operesheni kanda maalumu ya Dar es Salaam,” amesema Mwakalukwa.
Kwa mujibu wa Mwakalukwa mabadiliko ya uhamisho huo ni ya kawaida yanatokea ndani jeshi la polisi katika kuongeza ufanisi kwenye utendaji kazi.
Chanzo: Mwananchi
Hata kwa macho tuu kwa sisi wataalamu wa kujua nani ana mdudu tunaonatatizo,kuna tetesi kuwa ana mdudu
Weeee !!!! sema thuuuu !!!Hata kwa macho tuu kwa sisi wataalamu wa kujua nani ana mdudu tunaona
Kwa hiyo unamaanisha kuondoka kwake na hayo uliyoorodhesha anaondoka nayo?Bora aondoke tupumue, hebu jiulize kutoka geita sengerema mwanza kulikuwa na trafik 42 na check point saba kweli? walikuwa wanakagua nini cha zaidi? kutoka mwanza magu hadi nyashimo kulikuwa na trafik 36 na vituo nane vya ukaguzi wa magari ni nini kilichokuwa kinatafutwa? kama sio kubambika watu makosa ya barabarani?