DCM ZINAUZWA - zipo tatu kila moja mill 18 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DCM ZINAUZWA - zipo tatu kila moja mill 18

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mrekebishaji, Feb 3, 2012.

 1. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Zinabeba abiria 31 kila moja. zinafanya kazi route za tabata kimanga posta. zipo tatu, kila moja inauzwa miliioni 18. kwa mawasiliano piga 0719 473879 au 0763 894508.
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Fanya milioni 10 kumi tucheze dili......ma dcm magumu bana!
   
 3. B

  BARRY JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  punguza hiyo bei, yana umri gani?
   
 4. b

  ben van mike JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 471
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 33
  punguza bei mkuu tufanye biashara , mileage ?, umri ? hata picha mkuu
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  14mil nakupa Cash kesho kama ntaridhika Na mojawapo
   
 6. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  unaweza kuziona jumapili kesho zinakuwa service. utanipigia simu au kuni text maana nitakuwa safarini ila nitakupa mtu ukazione. kwa mwenye mil 10 haiwezekani kabisa.
   
Loading...