Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,246
Uhuru halijawahi kuwa huru kimawazo wala kimtazamo sijui ni watu wangapi wanalisoma gazeti hili
Logical non sequitur.We mbna hutukani au ndo nyie mnakaa nyuma ya kibodi na kutoa RIP, Tuko pamoja kamanda na maneno mengine ya kutiana moyo wakati wenzenu wakipata majanga
Sent using Jamii Forums mobile app
nisome vizuri boss, utanielewa.Umechanganya madesa!
Tuipendeje hii nchi!
Maana ya kutukana ni pale tusi linapomuuma mtukanwaji Sa ukitoa tusi ambalo hata unayemtusi halielewi it sound nonsense.Logical non sequitur.
Nishakutukana hapo.
Unalijua hilo tusi?
Sent from my Kimulimuli
Waanze na wew unayejulikanaShida ni pale huyo DCI anapoonekana naye sio huru, mimi nawashahuri watume watu wasio julikana huko kwa mange wakamteke!
Logical non sequitur.
Nishakutukana hapo.
Unalijua hilo tusi?
Sent from my Kimulimuli
Wewe hujui hata maana ya maana.Maana ya kutukana ni pale tusi linapomuuma mtukanwaji Sa ukitoa tusi ambalo hata unayemtusi halielewi it sound nonsense.
Sent using Jamii Forums mobile app
IPI HIYO MKUU?Huyo ni msaliti km wasaliti wengine.Dawa ya msaliti duniani kote-ni moja tu!
Ha haaa... eti hana joja..... haya wenye joja wako nairobi wanapigania maisha yao sasa nyie mnataka nini, hoja hamtaki na matusi je? Mange sio wa mchezo mchezo. .. le Mutuz jana sijui aliishia wapi na hoja zake za smg na bomu....Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Waliokuwa wakiwapaka mafuta watawala leo hii wana maisha gani?Wanaoneshwa [emoji379] hadharani hadi inashangaza,nani alitegemea kuna siku bwana mdogo wa Lindi vijijini anaweza kuwa treated kikatili vile?
May Allah bless Me and You
Teh teh anawanyima watu usingiziShangaa na hana baba wala mama wote alishawazika,,na ashasema haji ng'oooo bongo
Huwa hafagilii hata Makaburi? Hana Familia?Mkuu huyo anapigania buku 7 tu lakini moyo wake ni wa nyama na anajua yuko kwenye
upande usio sahihi wa historia ya nchi yetu.....
DCI mzima ana entertain baseless speculations.