hakuna ushahidi wa ''kulishwa sumu'' - we all expected this.
BUT, Ushahidi wa kuwa na sumu mwilini je?
Iko hivi Dr Mwakyembe ni kweli kabisa hakuwekewa sumu kwenye chakula. Sumu iliingiaje kwenye mfumo wa kimwili wa Harrison? Alikuwa akiviziwa sana na jamaa walimwekea sumu kwenye sabuni ya kunawia mikono Dodoma, mara baada ya kuitumia ile sabuni ilitoweka. Cartel ya waliohusika kufanya uharamia huo wa kumtegeshea sumu Mwakyembe inaongozwa na Mbunge wa Monduli, ambaye bunge lilimlazimisha aachie ngazi nafasi ya uwaziri mkuu. Wahusika wote waliisha lipwa kwa kazi hiyo na wana kiapo cha kutosema kwa mtu yeyote.
Mwosha HUOSHWA.Kwa wanaharakati Mwakyembe ni traitor so anavuna alichokipanda
Nadhani huu ndio ikweli wenyewe!. Kibarua sasa kimebaki kwa Mhe. Mwakyembe mwenyewe ku disclose anaumwa nini!.
Get well soon Mwalimu Mwakiyembe na achana na michezo michafu, rudi darasani ukaiendeleze fani ya kufinyanga wakombozi wa mahakamani.
Je itakapokuja kujidhihirisha kwamba kinachomsumbua Dr. Mwakyembe ni Sumu awe amelishwa au aliwekewa kwa njia yoyote ile, atakuja kusemaje! Mijitu mingine bwana, itakuja kupelekwa The Hague bure kwa makosa ya watu wengine kutokana na ujinga wao!Well, nadhani habari hii ndivyo ilivyotegemewa kutoka kwa 'polisi' wetu hasa kuhusiana na Mwakyembe!
Well, nadhani habari hii ndivyo ilivyotegemewa kutoka kwa 'polisi' wetu hasa kuhusiana na Mwakyembe!
Wanabodi, tuacheni conspiracy theories, vuteni subira kwanza mkijue anachoumwa ndipo mziendeleze hizi conspiracy theories zenu!.
Serikali makini itamshughulikia Sitta haraka iwezekanavyo, scrap him his ninisterial positions na kumpandisha kizimbani kwa kosa la "uchochezi"!.
Wanabodi, tuacheni conspiracy theories, vuteni subira kwanza mkijue anachoumwa ndipo mziendeleze hizi conspiracy theories zenu!.
Serikali makini itamshughulikia Sitta haraka iwezekanavyo, scrap him his ninisterial positions na kumpandisha kizimbani kwa kosa la "uchochezi"!.
Mkuu Ngongo, wewe uu miongoni mwa ma true great thinkers wa hili jukwa, mbona na wewe unafikiria ndani ya box tuu?!. Think outside the box, kwanza usikie anachoumwa ndipo tuendelee!.Mkuu Pasco,
Nilitegemea ungesema hivyo hasa kwakuwa mhusika mkuu ni Rais wako mtarajiwa 2015 ingawa alama za nyakati zinazidi kumtenga.
Hii ni kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari mchana wa leo. Katika maelezo yake, DCI anasema kwamba:
DCI alijibu kwamba:
"Kazi ya Jeshi la Polisi sio kuchunguza maradhi bali kuchunguza tuhuma, na baada ya uchunguzi wake kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Jeshi la Polisi limebaini kwamba tuhuma kwamba Dr. Mwakyembe amelishwa sumu hazina ukweli."
sitta atawajibishwa kwa kosa la kuichonganisha serikali na wananchi wake, lengo lake likiwa ni nchi isitawalike!