Mkoa gani mkuuMwacheni awatumikie wananchi. Inawezekana like box Jana zilikuwa gloves anazipeleka wodi ya wazazi hospital ya mkoa. Liacheni bull dozer likate mbuga.
Tetesi: Anachukua u RC apambane Na Msigwa.
IringaMkoa gani mkuu
We ngoja uone, sijui Msigwa anakuja Na mikwara mikwara yake Na Uingereza vingi, bull dozer anamtupa ndani.Mhh! Anamchukulia mazoezi Msigwa
Kila la kheriIringa
Hivi ujangundua kama Magufuli anapenda watu aina hii?? Magu ana beleave kwamba watu wanaopenda ku show off ndio wachapa Kazi. Ila wale wanaofanya chini chini sio.Kila la kheri
Mwaka huu tutaona vituko vya kila aina, kila mtu anabembeleza ajira kwa mtindo wakeHivi ujangundua kama Magufuli anapenda watu aina hii?? Magu ana beleave kwamba watu wanaopenda ku show off ndio wachapa Kazi. Ila wale wanaofanya chini chini sio.
a ile moja kapiga kambeba mwandishi wa habari wa kike full kukumbatia na kushika maungio..Ingekuwa wewe ungepewa kesi ya shambulio la aibu..DC Kasesela anapenda sana kupiga picha.
Na yeye ndio mambo yake hayo, Kwa hiyo picha kama hizo tutaziona sana awamu hii.hata yeye anapenda show off
Sio jipu, Ila hii style ya "Quick Fix" nimejaribu kuperezi peruzi kwenye mitandao kuona kama inawezekana Ila hakuna. Ila mwisho wa siku unfair dismissal case zitakuwa nyingi, Compensation ndio usiseme.unamaanisha ni jipu?
Msikiivu!!!!!