Hayo maneno yanamuudhi bibi yetu, anaona 2020 haifiki, muda wa kukata suruali na kuvaa makobasi magogoni imehamia msoga. Sasa ni kazi tu.vipi bibi, serikali ya parokia imekukasirisha nini?
Hapakazi tu, watendaji wazuri ndo walio na wanaoendelea kuteuliwa
Katika hali isiyotarajiwa DC wa Iramba Lucy Mayenga ambaye pia ni Mbunge wa viti maalumu amuomba Rais amuache kwenye uteuzi wa wakuu wa wilaya kwani ukuu wa wilaya umemsababishia biashara zake huko Shinyanga kwenda vibaya.
Hii aliongea wakati alipokutana na UWT huko Shinyanga ambapo inasemekana Waziri Mkuu alivyopita pande hizo Mkuu huyo wa Wilaya alimuomba Waziri Mkuu amwambie Rais asimteue tena.
Mheshimiwa Waziri Mkuu akamwambia asubirie uteuzi mpya na amesema isitafsiriwe kuwa ameshindwa kwenda na kasi ya Rais.
My take:
Inawezekanaje mteule wa Rais aseme sasa kuwa biashara zake zinaenda vibaya kisa ukuu wa wilaya? Je hapo mwanzo hakuliona hilo?
Source: magazeti ya leo.
Baada ya ikulu kuchukuliwa na makafiri, sasa no more futariMmeanza lini kuamini CCM kuna asiyelipa..??!
Anajuta kimya kimya kupiga kampeni, bora angekaa kimya. Sasa ameamua kuunda id tofauti ili achangie kwa uhuru, kumbe hajui makada wenzake tunamfuatilia, hata nyumba 10 hapati. Pole sana,Faiza fox mwaka jana alipiga kelele kweli kutetea ccm, nafikiri aliahidiwa ki post flani ila sasa ameona hata dalili za japo U DC hamna kabisa! Pole mama ni wengi waliahidiwa hasa na Riz Moko ila kwa Makufuli wamedunda 'kumwombea' watu kama ilivyozoeleka!
ameamua kujihami mapema maana hawa ndio walikuwa wanaacha maswali juu ya teuzi zao
Hahahahaaaaa. Umeua.Huyu nae ameona hailipi kumtetea JPM
Truly spoken!Uwe na biashara Shinyanga halafu upewe U DC wilaya yoyote nje ya mkoa huo, ni wazi kwamba biashara hiyo utanufaisha watu wengine tu. Mshika mawili...
Kaona hailipi.
Mkuu umeua!!!lazima awe mpole zama za kuvaa makobasi pale magogoni zimeshaisha!
Wakati Stella alipokua mkuu wa mkoa rukwa alikua akipokea mshahara gani mwingine?Mwaka huu hakuna kubebana vyeo 2 mtu mmoja! Wabunge wote wataukosa u DC: Kina Stella Manyanya na wengine walibebwa sana maana walikuwa wanavuta mishahara 2!
Mbunge wa viti maalumuWakati Stella alipokua mkuu wa mkoa rukwa alikua akipokea mshahara gani mwingine?
Hahaha kifua cha mkwere? Fafanua kdg. Hivi kumbe alikua mbunge viti maalumu? Hivi unaweza kua mkuu was mkoa na mbunge pia. Maana yule gama aliyekua kilimanjaro alijiuzuru u RC ili kugombea ubungeMbunge wa viti maalumu
Ali kuwa anaropoka matusi bungeni utafikiri yupo kwenye kifua cha mkwere
bibi.....Hahaa, mama amejichokea, mwacheni apumzike kwa amani. Ana id zaidi ya 20 anatumua kuwatukana makada wenzake humu