Nkerejiwa
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 146
- 214
Akizungumza Na Wazee 300 wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki.
Ole Sabaya Ametoa Onyo ilo la mwisho dhidi ya Wahalifu,Hili linawadia Siku chache baada ya Kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini Lema ambae alikutwa akipanga uhalifu katika nyumba moja uko Dorcas Bomang'ombe Hai Kisha kuruka ukuta baada ya kuona polisi,
Tayari Ole Sabaya alishawashikilia Wahalifu wa kisiasa wakiwemo Mashinji,Owenya na wengine wengi ambao walijaribu kuleta taharuki wilayani humo.