DC Ole Sabaya: Wilaya ya Hai haitakuwa uwanja wa majaribio ya kisiasa tena

Akizungumza Na Wazee 300 wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki.

Ole Sabaya Ametoa Onyo ilo la mwisho dhidi ya Wahalifu,Hili linawadia Siku chache baada ya Kukamatwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini Lema ambae alikutwa akipanga uhalifu katika nyumba moja uko Dorcas Bomang'ombe Hai Kisha kuruka ukuta baada ya kuona polisi,

Tayari Ole Sabaya alishawashikilia Wahalifu wa kisiasa wakiwemo Mashinji,Owenya na wengine wengi ambao walijaribu kuleta taharuki wilayani humo.
View attachment 1271868
Ujinga na upumbavu ni sehemu ya uongozi wa CCM
 
DC Sabaya ni kati ya wkuu wa wilaya wapumbavu kuwahi kutokea katika nchi hii Tangu Uhuru,anahitaji elimu ya uraia kuelewa misingi ya haki na demokrasia,hicho cheo alichonacho wamepita wengi sana na yeye keshokutwa anapita lakini kwa uzwazwa wake anahisi atakuwa DC milele
 
Nronga ndio unaenda na kamati tendaji ya chadema?
Pumbavu sana wewe na dc wako! Mwambie akawazuie wamasai Koko wenzake wanaorandaranda mbugani na waiojijiua kuwa wao ni wa Kenya ama watanzania! Asijione anajua Sana kuliko wenye wilaya yake!
 
Alikuwa kipofu, anajifanya anajua kumbe hajui chochote. Mbowe ni kama baba yake, Mbowe amekuwa mwanasiasa kabla anazaliwa, mbowe amemzidi kwa kila kitu afu unajifanya kujua dhidi yake?

Tumsamehe kwani umri ulimponza
Lakini aliaminiwa na Rais
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom