DC Ole Sabaya: Jabali amelala Hayati Dkt. Magufuli

Kinachoniumiza kichwa zaidi si matendo aliyofanya Sabaya. Kinachoniumiza ni kwamba Sabaya aliwezaje kupenya na kupata hiyo nafasi nyeti ilihali ni muhalifu. Kuna ushahidi mwingi wa kimazingira kwamba jamaa alikuwa ni muhalifu kabla. Hata kama hakuna ushahidi huo, haiingii akilini kwamba Sabaya alipata huluka za uhalifu baada ya kuwa Dc. Si kweli, akili ya kawaida inagoma. Sasa najiuliza, muhalifu kufika kuingia kwenye nafasi nyeti kama hiyo. Basi kuna ufa fulani kwenye mfumo wetu wa kutafuta viongozi safi. Haiyumkiniki siku tukakuta jambazi liko ikulu. Hicho ndio kinaniumiza zaidi.
 
Pole sana saa mbaya,nakuombea tu ubarikiwe popote pale,watu ni wivu tu wamekuvunja.
Kaza moyo mdogo wangu yataisha👊
 
Huyu ni miongoni wachache walioshusha heshima ya cheo cha DC ni imani yangu atavuna mapema alicho panda.Mama Samia tunaimani nawe Mola akutangulie katika yote.
Kama lema vile Yani ukitabiricho ndicho kitokeacho.
 
Baada ya Kushuhudia Mwili wa Dr John P.Magufuli ukiwa Akiwa Amelala Sasa Nimeamini Jabali Lenye Moyo wa Simba Na Akili ya Duma Amelala Usingizi wa Mauti.

Usiku ule wa Tarehe 17 March ni usiku Mgumu kuwahi kutokea katika Maisha Yangu, Nilimfikiria Baba, Mwalimu,mtu mwenye Huruma,ambaye kabla ya "kukuhukumu" atataka akusikilize na wewe, Na siku zote akisema USIOGOPE,Mtu asiyejua UNAFIKI wa kupikwa ila aliyezingatia zaidi matokeo ya kazi Aliyokupa, na aliyeamini sana katika nafasi ya pili,Anayesikiliza sana tena kwa Upendo.

Kuondoka kwake kwa wakati huu kuliniingiza Ganzi Nisiyowahi kuiona Maishani, Ninajua Mama Janeth amempoteza Mume, Taifa Limempoteza Baba na Rais, Africa Imempoteza Mwana mapinduzi Jasiri,Lakini Mbingu Imempokea shujaa Wa Imani, Aliyevipiga vita bila Kujali maumivu ya Moyo aliyoyapitia, akailinda imani kwa Kulitambulisha Jina la MUNGU aponyaye kwa mataifa, Na sasa amemaliza mwendo na Amepumzika Miguuni kwa bwana Wa vita. MATENDO uliyoyatenda kwa Gharama ya maisha yako, yamekutangulia.

Nenda Baba Nenda, matendo yako, kazi zako,na kujitoa kwako kumeandikwa kwa wino wa dhahabu kwenye moyo wangu na katika mioyo ya watanzania wa kweli umeandika Dibaji mpya. Hadithi za kazi ulizowatendea wana wa Taifa hili zitasimuliwa na vizazi, kwangu umenipa sababu ya kuamka tena, kutenda kwa Ujasiri bila woga wala Hofu,Nikiona Fahari sana Kwamba nimejifunza na Kuwa Mwanafunzi wako na uwe na Uhakika kwamba sasa Nitatenda kwa ujasiri zaidi bila kutokuonea wala kupendelea na niikijua ipo siku MUNGU mwenyewe, katika ukamilifu wake, atatuita kutoa hesabu ya matendo yetu na Sio Maneno yetu.

Tukutane baadae Nyumbani kwa baba, kusiko na Kuomboleza, kilio wala maumivu,Tutakapohesabiwa haki na Bwana Mwenyewe.

Imenyamaza sauti dhabiti ya wanyonge, imenyamaza kimya kiranja mkuu na mkufunzi wapigania usawa kwa vitendo, Amelala Mjamaa Asiyetishika,Ardhi imemeza shujaa na kaka wa Taifa,Bwana Ataitia Nguvu Mioyo iliyosinyaa, wala Hataacha Taifa Lililolitetea Jina Lake liaibike kamwe.

Umetufunza ushupavu na misimamo imara,Nyayo na Kumbukumbu zako vitatupa hasira za kufanya kwa ajili ya Taifa na vizazi tutakavyoviacha.Vilio vya wanyonge na wasio na sauti vimefika kwenye kiti cha Enzi. Rest in power John, Tutakutana Baadae.Bado ni salama Rohoni mwangu.

View attachment 1735677View attachment 1735678

Aibu kwao wote waliojifungamanishia ujambazi, wizi, uporaji, utesaji, utekaji, uuwaji kuwa ndiyo uzalendo wao 😁😁.

Kwamba?

"Nenda Baba Nenda, matendo yako, kazi zako,na kujitoa kwako kumeandikwa kwa wino wa dhahabu kwenye moyo wangu na katika mioyo ya watanzania wa kweli umeandika Dibaji mpya."

Alisema Nyerere "upumbavu ni kipaji."
 
Baada ya Kushuhudia Mwili wa Dr John P.Magufuli ukiwa Akiwa Amelala Sasa Nimeamini Jabali Lenye Moyo wa Simba Na Akili ya Duma Amelala Usingizi wa Mauti.

Usiku ule wa Tarehe 17 March ni usiku Mgumu kuwahi kutokea katika Maisha Yangu, Nilimfikiria Baba, Mwalimu,mtu mwenye Huruma,ambaye kabla ya "kukuhukumu" atataka akusikilize na wewe, Na siku zote akisema USIOGOPE,Mtu asiyejua UNAFIKI wa kupikwa ila aliyezingatia zaidi matokeo ya kazi Aliyokupa, na aliyeamini sana katika nafasi ya pili,Anayesikiliza sana tena kwa Upendo.

Kuondoka kwake kwa wakati huu kuliniingiza Ganzi Nisiyowahi kuiona Maishani, Ninajua Mama Janeth amempoteza Mume, Taifa Limempoteza Baba na Rais, Africa Imempoteza Mwana mapinduzi Jasiri,Lakini Mbingu Imempokea shujaa Wa Imani, Aliyevipiga vita bila Kujali maumivu ya Moyo aliyoyapitia, akailinda imani kwa Kulitambulisha Jina la MUNGU aponyaye kwa mataifa, Na sasa amemaliza mwendo na Amepumzika Miguuni kwa bwana Wa vita. MATENDO uliyoyatenda kwa Gharama ya maisha yako, yamekutangulia.

Nenda Baba Nenda, matendo yako, kazi zako,na kujitoa kwako kumeandikwa kwa wino wa dhahabu kwenye moyo wangu na katika mioyo ya watanzania wa kweli umeandika Dibaji mpya. Hadithi za kazi ulizowatendea wana wa Taifa hili zitasimuliwa na vizazi, kwangu umenipa sababu ya kuamka tena, kutenda kwa Ujasiri bila woga wala Hofu,Nikiona Fahari sana Kwamba nimejifunza na Kuwa Mwanafunzi wako na uwe na Uhakika kwamba sasa Nitatenda kwa ujasiri zaidi bila kutokuonea wala kupendelea na niikijua ipo siku MUNGU mwenyewe, katika ukamilifu wake, atatuita kutoa hesabu ya matendo yetu na Sio Maneno yetu.

Tukutane baadae Nyumbani kwa baba, kusiko na Kuomboleza, kilio wala maumivu,Tutakapohesabiwa haki na Bwana Mwenyewe.

Imenyamaza sauti dhabiti ya wanyonge, imenyamaza kimya kiranja mkuu na mkufunzi wapigania usawa kwa vitendo, Amelala Mjamaa Asiyetishika,Ardhi imemeza shujaa na kaka wa Taifa,Bwana Ataitia Nguvu Mioyo iliyosinyaa, wala Hataacha Taifa Lililolitetea Jina Lake liaibike kamwe.

Umetufunza ushupavu na misimamo imara,Nyayo na Kumbukumbu zako vitatupa hasira za kufanya kwa ajili ya Taifa na vizazi tutakavyoviacha.Vilio vya wanyonge na wasio na sauti vimefika kwenye kiti cha Enzi. Rest in power John, Tutakutana Baadae.Bado ni salama Rohoni mwangu.

View attachment 1735677View attachment 1735678
Mfuko umejaa hela
IMG_20211017_134101.jpg
 
Ningekuwa Sabaya ningeagiza wanaonitembelea gerezani waniletee sumu ninye nife.Ukisikia From zero to Hell ndo hii ya sabaya.
 
Ndugu yangu ukweli umeondokewa na kupungukiwa ulikanyaga Sheria upendavyo hakuna wa kukukemea ulidhalilisha watu ukaonekana shujaa,ulidhulumu watu na kufanya ujambazi wa mchana Ila waliotakiwa kukuwajibisha wakakulinda na kusema ni mtakatifu yote ujue hatujasaha km ubongo wako ulivyomsahaulifu Ila ss siku zako zinahesabibika suntashangaa siku nikija kukuona gereza la karanga hapo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Yametimia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom