Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 6,519
- 11,039
alikosa tu muongozo na hekima, akaona wapinzani wake wote ni wa kufutiliwa mbali na akawa na tamaa ya maliTaasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.
Katika category ya '' Male Politician Of The Year 2019'' Imewatangaza Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria
Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.
Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.
Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia.
View attachment 1324970
Sent using Jamii Forums mobile app