DC Ole Sabaya..Aingia kwenye kinyanganyiro cha viongozi vijana wenye ushawishi Afrika

Waziri2025

Senior Member
Sep 2, 2019
148
379
Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.

Katika category ya *'' Male Politician Of The Year 2019''* Imewatangaza *Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria*

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.

Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.

Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia.

IMG-20200116-WA0016.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1324970

Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake limependekezwa na UKAWA?
 
Yupo kwenye kinyang'anyoro kugombea ndoo ya kuhifadhi kinyesi sasa!

Haya ya kina Sabaya ni mwendelezo wa upumbafu uliopitiliza wa kufanya siasa tu kwa kila jambi, badala ya kuyaweka maslahi ya taifa mbele.

Mwendazake zake na washirika wake hawakustahili uwepo wao madarakani kwa udhalimu wao. Kama wananchi tulipaswa kuwaondosha madarakani kwa aibu.

Umuhimu wa katiba mpya unazidi kujifunua.
 
Taasisi ya African Young Leaders Summit YALS inayojihushisha na masuala ya vijana ambayo makao makuu yake ni Nchini Africa ya Kusini imetangaza wanasiasa Bora kwa mwaka 2019 kwa kutumia vigezo mbalimbali ikiwepo Ushiriki wa moja kwa moja katika kutatua matatizo sugu yanayoikumba jamii ya watu wa chini.

Katika category ya '' Male Politician Of The Year 2019'' Imewatangaza Robert Kyagulanyi [Bob Wine] kutoka Uganda, Julius Karl Fieve kutoka Ghana,Lengai Ole Sabaya kutoka Tanzania,Fauzoeya Nurudeen Kutoka Nigeria,Yongama Ludwe Zigebe kutoka Afrika Kusini na Nwosu Franklyn Chiedozie kutoka Nigeria

Tuzo hizo hutolewa kila mwaka katika Idara tofauti zinawahusu vijana wa Africa na Mwishoni mwa mwaka 2019 YALS ilimtangaza Mbunge wa Uganga Bob wine Kushinda tuzo hiyo nyuma ya Akimzidi kidogo kura Lengai Ole Sabaya na Ludwe zibege wa Africa Kusini ambao walifungana.

Bob wine Alituma mwakilishi katika upokeaji wa Tuzo hiyo kwenye hafla ya ugawaji iliofanyikia nchini Ghana na katika ujumbe wake Bob Wine aliwapongeza waandaji kwa kuwaona na kuwatambua vijana wanaopambana kuifanya Africa ing'are kimaendeleo,sambamba na hilo Bob Wine Aliwapongeza washindani wenzake kwa Kumpa Ushindani Mkali.

Tayari YALS Imetangaza mashindano ya mwaka huu 2020 yatafanyikia nchini Ethiopia.

View attachment 1324970

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii post inatukumbusha kipindi ambacho nchi yetu ilifikia the highest degree of hooliganism, stupidity and fanatism.
How did we get there? How can we prevent that to happen again?
We thank the Almighty for His heavenly intervention. We need to do something now to prevent something like this to happen again.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom