DC Ngara ashiriki katika utapeli

DC Ngara ashiriki katika utapeli

Mabunu

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
33
Reaction score
13
Mwanzoni mwa mwaka huu Mkuu wa wilaya ya Ngara Bw Costantine Kanyasu alialikwa kuwa Mgeni rasmi katika shindano la Miss Ngara

Katika shindano hilo mshindi aliahidiwa kupewa vifaa vya Salon ya kike vyenye gharama ya shilingi milioni 2, mshindi wa pili zawadi yenye thamani ya milioni 1 na mshindi wa 3 laki 7

kilichofanyika ni kwamba waandaaji walienda salon kuazima vifaa kwa ajili ya kuwapa washindi na baada ya hapo waliwanyang'anya

baada ya kupata taarifa hizo kuna Redio moja iko Ngara ikalipigia kelele suala hilo, mshindi wa kwanza akapewa laki 1, wa pili elfu 50 na wa tatu elfu 10

Ikumbukwe kuwa Mkuu wa wilaya ndo alikuwa Mgeni rasmi na mchong9o wote anaufahamu but hajachukua hatua yoyote kwa waandaaji ambao ni Paradise Hotel na Happy Fashion
 
Mtoa mada,hii gongo mliyohalalishiwa na dr slaa itawafikisha pabaya,inawaharibu ubongo,mnakuwa mazezeta,sasa hapo dc,kualikwa mgeni rasmi,nashirikije mchongo,au dili la kutapeli,??muulize mbunge wako godbless lema akujulishe utapeli upoje.
 
Mtoa mada,hii gongo mliyohalalishiwa na dr slaa itawafikisha pabaya,inawaharibu ubongo,mnakuwa mazezeta,sasa hapo dc,kualikwa mgeni rasmi,nashirikije mchongo,au dili la kutapeli,??muulize mbunge wako godbless lema akujulishe utapeli upoje.
wewe kama sio Kanyasu basi utakuwa mdogo wake, sasa kama Kanyasu hahusiki kwa nini ameshindwa kuchukua hatua?et mpaka wale mabinti waende kulalamika, nini maana ya PCCB, s kuchunguza?sasa Kanyasu anashindwa nini kuwaagiza PCCB kwenda kuchunguza ili kubaini ukweli?
 
Mtoa mada,hii gongo mliyohalalishiwa na dr slaa itawafikisha pabaya,inawaharibu ubongo,mnakuwa mazezeta,sasa hapo dc,kualikwa mgeni rasmi,nashirikije mchongo,au dili la kutapeli,??muulize mbunge wako godbless lema akujulishe utapeli upoje.
I don't see the difference
 
Mtoa mada,hii gongo mliyohalalishiwa na dr slaa itawafikisha pabaya,inawaharibu ubongo,mnakuwa mazezeta,sasa hapo dc,kualikwa mgeni rasmi,nashirikije mchongo,au dili la kutapeli,??muulize mbunge wako godbless lema akujulishe utapeli upoje.

Mental case.
 
Wakuu wa wilaya sasa wamekuwa wakuu wa ujangili na ufisadi wilayani
 
mtoa mada,hii gongo mliyohalalishiwa na dr slaa itawafikisha pabaya,inawaharibu ubongo,mnakuwa mazezeta,sasa hapo dc,kualikwa mgeni rasmi,nashirikije mchongo,au dili la kutapeli,??muulize mbunge wako godbless lema akujulishe utapeli upoje.

kijana huo soyo uongo bali ni ukweli usio na chembe ya unafiki.

Mimi mwenyewe ninaushahidi wa kutosha juu ya hilo sakata.

C.c.yem ni ukoo wa panya.
 
Asante mdau kwa taarifa hiyo.Nikiacha skendo hiyo, Hakika Ngara tulishapatikana. Hawa watutunao letewa wanaoteuliwa kwa hisani na zawadi kutoka kwa Rais safari hii imetugharimuwanangara sijawahi kuona. DC huyu ana vitibwi vingi.1. Kwakinywa chake amekuwa akiongea hadhalani (achilia mbali kuonyesha hisia) kukelwana wafugaji huku akipendelea kilimo. Lakini hili amelifanya makusudi naamelitumia kama turufu (gia) ya kuingiza wasukuma (nduguze…..) katika maeneomengi na yenye rutuba ya Wilaya ya Ngara hususani Tarafa za Rulenge naMurusagamba. Amemwaga wasukuma wengi maeneo hayo kwa kisingizio eti ni wakulimakumbe ni wafugaji. Maeneo yanaombwa kama ya kilimo lakini maelfu ya ngombeyanazidi kutililika kuingia wilaya ya ngara na wasukuma hao hao anao jifanyakuwachukia kupitia mifugo lakini anawaingiza kama wakulima. Kanyasu ni Joka kwawanangara. Wakulima wasibweteke eti anawapenda wakati ARDHI ANAIGAWA kwa WAGENI. Anajifanya kuwachukia wafugaji ilihali anahamasishawafugaji hao hao wacgangie shughuli za maendeleo kwa viwango vikubwa kulikoupande mwingine (mfugaji achangie 95% mkulima 5%) why????

2. Hivisasa kuna wimbi la wizi wa mifugo. Makumi kwa mamia ya ng'ombe yanaibwa na kutokmeakusiko julikana. Inasemekana wanapakiwa au kuswagwa kupitia njia halalizinazotambulika mfano mipakani mwa wilaya zinazo zunguka Wilaya ya Ngara mfano Kabanga,Rusumo, Murusagamba, Nyakahura, Nyakanazi, Lunzewe, nk. Na maeneo yote hayoyana vizuizi. Trick inayofanywa na wahalamia hao ni kuchanganya ng'ombewalioibwa na wale walio nunuliwa kwenye minada iliyopo wilaya za Ngara,Bihalamulo etc. Swali ni je, yeye kamamkuu na mlinzi wa Amani wa wilaya amefanya juhudi gani kupeleleza, kusaka, kukamatana kuwawajibisha wahusika kisheria? Idara ya Mifugo wilaya Ngara imefanyajuhudi gani kutokemeza vitendo hivi? Hapa tunaomba uongozi wa Mkoa wa Kagerakuingilia kati kukomesha wizi huu, uhusika wa Mkuu wa Mkoa ni muhimu kwaniwimbi hili la kutisha limeanza baada ya kuwatimua waliokuwa wavamizi, wananchiwanao ishi nchini kinyume na taratibu za Nchi, hawa hushirikiana na watanzania.Hawa bado wamo na wanarudi kwa kasi ya ajabu kuliko ile iliyoawaondoa! Operation iendelee, Tanzania tu mabigwa wa kuanzishavitu / program na kuziacha njiani. Mpango wa kuondoa watu hawa si wa kuwa mudamfupi inatakiwa kuwa Nonstop/ Progressive at all times. Mbaya zaidi wapo baadhiyao ambao wamejibanza kwenye miji/familia za viongozi wa serikali (watendajijiji, kata na wenyeviti wa vijiji etc.) Mifano ipo hai na ya aina yake Mkuu waMkoa wa Kagera afike Kata ya Kasulo wilaya ya Ngara atapata taarifa sahihi zahaya ninayo yabainisha hapa

Wadau wengine wanaotakiwa kusaidiakudhibiti wizi wa mifugo ni pamoja na Chama cha wafugaji kanda ya ziwa (‘WAKAZI'),Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, wakuu wa wilaya za Kibondo, Kasulu etc.
 
Kwa kweli sioni kivipi DC anahusika na hili suala maana kualikwa kama mgeni rasmi na kukabidhi zawadi siyo kwamba ndo utafahamu kila kitu kinachoendelea. Kama walikabidhiwa siku ya mashindano na baadae wakanyang'anywa, nafikiri wao alitakiwa kutoa taarifa kituo cha polisi au hata kwa DC maake ni kiongozi pengine angeweza kulishighulikia.

Kuhusu wasukuma kujaa Ngara, awe ni mkulima au mfugaji sheria za nchi zinawaruhusu kuishi sehemu yoyote ndani ya Nchi. Ila kama ukiona wavunja sheria, basi ni busara kutoa taarifa polisi.
 
Prierre, Sheria tulizo nazo si mbaya kama zikisimamiwa sawa sawa. Ila wajanja na kimsigi wanao takiwa kuzisimamia ndiyo wanao zipindisha kwa manufaa yao. Je, Rushwa uniweka wapi kwa jinsi ilivyo ota mizizi siku hizi.

Pia kwa nini wawe wasukuma, kwa nini waje kwa kasi kubwa na kwanini iwe sasa kuliko miaka ya nyuma?????
 
Back
Top Bottom