Atakuwa mtoto wa lubuva huyuhahah waache wauane.
wakimalizana na sisi, watageukiana wao kwa wao.
Safi sana.Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.
Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
watakua ma lubuva juniors senior ni kale kazee na ki sauti chake cha njaa!!Kuna Lubuva mwingine ni afsa manunuzi huko mikoa ya kusini jamaa ni hovyo kabsaa sijui ni ndugu na huyo DED!
ili tupate kuelewana vizuri, DED mteule wa rais, DC mteule wa rais, si wanasemaga DED huwa ni.lazima awe mwana CCM na DC pia, ila DED ana sifa ya nyongeza tiss.ccmMkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.
Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
Madaraka yanalevya kuzidi hata kilevi cha pombe