kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 916
Yanga bwana hata uwape cheo kikubwa bado vitabia vyao vya kiyangayanga huwa haviishi.Morrison au Haji Manara watamlipia
Ona hili sasaWhy wamelete kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi isiwe huko nyuma? Wanajua jery ni chuma muhimu linapokuja swala La ushindi wa ccm
pole mkuu wanasiasa hawaaminikiMkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ameingia matatani na wamiliki wa duka la samani za majumbani la Future correct la jijini Arusha na wanatarajia kumshitaki kwa boss wake ama mahakamani Baada ya kugoma kulipa deni la sh, milioni 1,050,000 kwa muda wa miaka mitatu baada ya kukopa samani za ndani zenye thamani ya sh,milioni 4.4.
Kwa mujibu wa wamiliki wa duka hilo lililopo barabara ya Uhuru (Uhuru Road) jijini Arusha ,Muro ambaye ni mwakilishi wa Rais wilayani humo alikopa TV yenye ukubwa wa inchi 65 yenye thamani ya sh. Mil. 3.2.mnamo Tarehe 10/12/2018.
Pia anadaiwa kukopa radio aina ya (Home thieta) yenye thamani ya Tsh. milioni 1.2 vyote vikiwa na thamani ya Tsh. 4,400,000.
Inadaiwa kuwa siku hiyo baada ya kukabidhiwa mzigo huo Muro alilipa advance ya Tsh. 1,500,000 na deni kubaki Tsh. 2,900,000/.
Mnamo February 2,2020 Muro alilipa sh. Milioni 1 na kubaki sh. Million 1.9, pia tarehe 22/5/2020 alilipa sh. 350,000/ na tarehe 17/6/2020 alilipa sh. 500,000 na hivyo deni kubaki sh. 1,050,000/
Baada ya malipo hayo Muro aliendelea kusumbua deni hilo kwa miaka miwili mfururizo hadi Septemba 5 mwaka huu ambapo alidai lean a hawezi kulipa tena kiasi hicho cha fedha na kuwataka wakalalamike popote.
Lakini baadaye alibadilisha kauli na kudai kwamba atalipa januari mwakani jambo ambalo limesababisha usumbufu kwa mwenye Mali na ukizingatia kwamba wanapaswa kulipa kodi ya Serikali .
Wamiliki wa duka hilo wamempa Siku saba awe amelipa deni hilo kwani kwa kutofanya hivyo watamfikisha mahakàmani .
View attachment 1564018
Mwanasheria wa Halmashauri atamuwakilisha mahakamaniMkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ameingia matatani na wamiliki wa duka la samani za majumbani la Future correct la jijini Arusha na wanatarajia kumshitaki kwa boss wake ama mahakamani Baada ya kugoma kulipa deni la sh, milioni 1,050,000 kwa muda wa miaka mitatu baada ya kukopa samani za ndani zenye thamani ya sh,milioni 4.4.
Kwa mujibu wa wamiliki wa duka hilo lililopo barabara ya Uhuru (Uhuru Road) jijini Arusha ,Muro ambaye ni mwakilishi wa Rais wilayani humo alikopa TV yenye ukubwa wa inchi 65 yenye thamani ya sh. Mil. 3.2.mnamo Tarehe 10/12/2018.
Pia anadaiwa kukopa radio aina ya (Home thieta) yenye thamani ya Tsh. milioni 1.2 vyote vikiwa na thamani ya Tsh. 4,400,000.
Inadaiwa kuwa siku hiyo baada ya kukabidhiwa mzigo huo Muro alilipa advance ya Tsh. 1,500,000 na deni kubaki Tsh. 2,900,000/.
Mnamo February 2,2020 Muro alilipa sh. Milioni 1 na kubaki sh. Million 1.9, pia tarehe 22/5/2020 alilipa sh. 350,000/ na tarehe 17/6/2020 alilipa sh. 500,000 na hivyo deni kubaki sh. 1,050,000/
Baada ya malipo hayo Muro aliendelea kusumbua deni hilo kwa miaka miwili mfururizo hadi Septemba 5 mwaka huu ambapo alidai lean a hawezi kulipa tena kiasi hicho cha fedha na kuwataka wakalalamike popote.
Lakini baadaye alibadilisha kauli na kudai kwamba atalipa januari mwakani jambo ambalo limesababisha usumbufu kwa mwenye Mali na ukizingatia kwamba wanapaswa kulipa kodi ya Serikali .
Wamiliki wa duka hilo wamempa Siku saba awe amelipa deni hilo kwani kwa kutofanya hivyo watamfikisha mahakàmani .
View attachment 1564018
Walishindwa kumsaidia marehemu Komba hadi akafa na hata kumuenzi washamsahau itakuwa huyo kibaka aliyeokotwa jalalani na magu?CCM msaidieni mwenzenu asidhalilike zaidi ,ameshadhalilika.
Ona hili sasa
Upo sawa maana alikopa mwaka 2018 na toka siku amekopa alikuwa anasumbuaa kulipaaa...!! Utapeliii"Mara ya mwisho alilipa Tsh 500,000 tarehe 17/6/2020.
BAADA ya malipo hayo Muro aliendelea kusumbua deni hilo kwa MIAKA MIWILI mfururizo!!!"
Huo uandishi haupo sawa.
-Kaveli-
Aibu sanaaa...!!Hawa ni choka mbaya sana ndio maana hukifia chama yani ujanja wote unakopa home theatre???? Poor him
Mahakama gani inapokea kesi za madai kidogo hivyo? Kama amepunguza mpaka ikafika hapo ilipo waendelee kushirikiana atalipwa tuu. Hata hivyo kumtangaza mdeni wako inaweza kusa sababu ya kutokulipwa kabisa na ikibidi ulipe na fidiaMkuu wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ameingia matatani na wamiliki wa duka la samani za majumbani la Future correct la jijini Arusha na wanatarajia kumshitaki kwa boss wake ama mahakamani Baada ya kugoma kulipa deni la sh, milioni 1,050,000 kwa muda wa miaka mitatu baada ya kukopa samani za ndani zenye thamani ya sh,milioni 4.4.
Kwa mujibu wa wamiliki wa duka hilo lililopo barabara ya Uhuru (Uhuru Road) jijini Arusha ,Muro ambaye ni mwakilishi wa Rais wilayani humo alikopa TV yenye ukubwa wa inchi 65 yenye thamani ya sh. Mil. 3.2.mnamo Tarehe 10/12/2018.
Pia anadaiwa kukopa radio aina ya (Home thieta) yenye thamani ya Tsh. milioni 1.2 vyote vikiwa na thamani ya Tsh. 4,400,000.
Inadaiwa kuwa siku hiyo baada ya kukabidhiwa mzigo huo Muro alilipa advance ya Tsh. 1,500,000 na deni kubaki Tsh. 2,900,000/.
Mnamo February 2,2020 Muro alilipa sh. Milioni 1 na kubaki sh. Million 1.9, pia tarehe 22/5/2020 alilipa sh. 350,000/ na tarehe 17/6/2020 alilipa sh. 500,000 na hivyo deni kubaki sh. 1,050,000/
Baada ya malipo hayo Muro aliendelea kusumbua deni hilo kwa miaka miwili mfururizo hadi Septemba 5 mwaka huu ambapo alidai lean a hawezi kulipa tena kiasi hicho cha fedha na kuwataka wakalalamike popote.
Lakini baadaye alibadilisha kauli na kudai kwamba atalipa januari mwakani jambo ambalo limesababisha usumbufu kwa mwenye Mali na ukizingatia kwamba wanapaswa kulipa kodi ya Serikali .
Wamiliki wa duka hilo wamempa Siku saba awe amelipa deni hilo kwani kwa kutofanya hivyo watamfikisha mahakàmani .
View attachment 1564018
Chuma my foot wakati hawezi kununua TV na home theater kwa cash?? Mtu kuwa chuma ni fwedhaaa full stop!!Why wamelete kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi isiwe huko nyuma? Wanajua jery ni chuma muhimu linapokuja swala La ushindi wa ccm
One of the best strategies ya kudai ni kumuanika mdeni wako publicly, hasa kwenye mitandao na vyombo vya habari na kwa wakubwa zake.Huo ni umbea kuleta Mambo binafsi ya mtu humu
Nakumbuka sana hii kitu, rip Komba...Walishindwa kumsaidia marehemu Komba hadi akafa na hata kumuenzi washamsahau itakuwa huyo kibaka aliyeokotwa jalalani na magu?
You must be very stupid, milioni moja ni pesa kidogo? Hivi unajua kwenye biashara hiyo TV na hiyo home theater pengine faida yake zote mbili ni sh laki tano??? Sasa kama hajalupa hilo deni it means siyo tu kwamba faida imeliwa but na mtaji wa hizo bidhaa imekata kwa laki 5? Halafu miaka 2 na bado unataka amdai kwa siri eti tuu kwa kuwa ni kada mwenzako!! Hebu acha kuwa mpumbavu pale mtu anapidai chake.Mahakama gani inapokea kesi za madai kidogo hivyo? Kama amepunguza mpaka ikafika hapo ilipo waendelee kushirikiana atalipwa tuu. Hata hivyo kumtangaza mdeni wako inaweza kusa sababu ya kutokulipwa kabisa na ikibidi ulipe na fidia