Kukomenti kwenye uzi wa umbea nawe ni mmbeya tuHuo ni umbea kuleta Mambo binafsi ya mtu humu
Why wamelete kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi isiwe huko nyuma? Wanajua jery ni chuma muhimu linapokuja swala La ushindi wa ccm
Why wamelete kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi isiwe huko nyuma? Wanajua jery ni chuma muhimu linapokuja swala La ushindi wa ccm
Tangia Simba waanze kuongozwa na Bar Bara wameiga mifumo ya jinsia ingine ikiwemo kufuatilia kila siku maisha ya jirani yake!Yanga bwana hata uwape cheo kikubwa bado vitabia vyao vya kiyangayanga huwa haviishi.Morrison au Haji Manara watamlipia
Wanaogopa ukija uongozi mpya pengine asiwemo kwenye ulaji.Why wamelete kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi isiwe huko nyuma? Wanajua jery ni chuma muhimu linapokuja swala La ushindi wa ccm
Hapo umeaongea kitu cha msingi sana kwa sheria zetu, labda wamshitaki kwa Jiwe. Kwani wakienda mahakama ya mwanzo Muro anawakili atagoma kwenda kusikiliza kesi ,kwakuwa anawakili watatakiwa kufungua kesi kuanzia mahakama ya wilaya, wakienda kifungua mahakama ya wilaya wataambia kesi zinazofunguliwa ni za kuanzia shilingi Milioni 200.Wakienda polisi wataambiwa ni kesi ya madai kwakuwa alishalipa kiasi cha deni. Kesi imekufaMahakama gani inapokea kesi za madai kidogo hivyo? Kama amepunguza mpaka ikafika hapo ilipo waendelee kushirikiana atalipwa tuu. Hata hivyo kumtangaza mdeni wako inaweza kusa sababu ya kutokulipwa kabisa na ikibidi ulipe na fidia