Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,618
Walimsingizia tuu, mahakama ikatenda haki.Hivi alichoropoka vipi kwenye lile sakata la rushwa ya 10m?
P

Sii kweli.Mkuu huyu Pasco anaandika kwa mtindo wa kejeli.
Hapo kwenye pistol na pingu ndicho ulichikuwa unataka kutujulisha! Pascal Mayalla bwana!Huyu DC ni mchapakazi sana na uthibitisho ni huu
.Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Hivyo linapokuja suala la utulivu na amani, Muro hana mchezo kabisa, enzi akiwa mwandishi, alikuwa anatembea na pisto na pingu na enzi hizo alikuwa hana mamlaka ya nguvu za dola, sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, hivyo Arumeru sasa ni heshima adabu.
P
Duh yamefika huko?Huyu DC ni mchapakazi sana na uthibitisho ni huu

Kumiliki pingu ndo kitibitisho cha kuonyesha kwamba ni kiongozi bora ama?Sana Mkuu , kama aliweza kumiliki Pingu siyo mchezo .
Kumuita mtu mpumbavu sio tusi ila kama ni tusi naomba uniwe radhi mkuu.Suala la amani,ulinzi na usalama ni suala la kuhakikisha linadumu kwa nchi. halmashauri hiyo si inaongozwa na CHADEMA? ni mkakati gani CHADEMA mmekuja nao kuleta fujo?
Hiyo inastahili kuitwa "SUPER STUPID BOYS TEAM"The winning team: Makonda, Mnyeti, Sabaya, Chalamila, Muro...n.k.
Aliponyeshwa na hisia za RAIA wema kushupaa kwa kuhisi Muro anaonewa na majizi ya fedha za umma hivyo kasingiziwa.Hivi alichoropoka vipi kwenye lile sakata la rushwa ya 10m?
Mkuu huyo Pascal Mayalla uandishi wake ni wa dhihaka flani.Akija kutoa lugha kama za chalamila sijui utasemaje sasa,the thing is kuna kitu wewe unakitafuta kwa namna yoyote ile na ndo mana huishi kutoa bandikozako ambazo ni typically praise and worship,haitashangaza na wewe ukawa kama wao siku ukikipata hicho unachokitafuta kama kweli unaweza sifia vijana wenye mienendo hatarishi kama hawa.
Sara Msafiri nae hajambo!!Hamzidi Albert Chalamila kwa viwango!
kama unafunga vile kumbe ndo kwanza beki analimwa chengaHuyu DC ni mchapakazi sana na uthibitisho ni huu
.Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Hivyo linapokuja suala la utulivu na amani, Muro hana mchezo kabisa, enzi akiwa mwandishi, alikuwa anatembea na pisto na pingu na enzi hizo alikuwa hana mamlaka ya nguvu za dola, sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, hivyo Arumeru sasa ni heshima adabu.
P
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro
Ambaye pia ni Mwenyekiti Wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo, ameamuru polisi kuwatimua Madiwani wote waliokuwa kwenye kikao cha baraza la Madiwani wa halmashauri ya Meru .
Muro alitumia Mamlaka yake hayo kwa kile alichodai ni kunusuru amani iliyotishia kutoweka katika kikao hicho kufuatia malumbano yaliyokuwa Yakiendele baina ya Madiwani hao kujibizana pasipokuwa na hoja yamsingi na kupelekea kuhatarisha usalama wao.
"Moja ya majukumu yangu ni kuhakikisha nazuia hali yoyote ya viashiria vya uvunjifu wa Amani"Alisema Muro
Baraza hilo la Madiwani lilivunjika na kushindwa kuendeleauwasilishwa Taarifa za maendeleo za kata 10 kutokana na kuwepo kwa sintofahamu kati yabaadhi ya wajumbe kutaka kuondolewa Kwa diwani wa Viti maalumu Chadema kwamadai ya kuvuliwa uanachama na chama chake.
Katika Baraza hilo la robo ya 4 ya mwaka 2018/2019 lililokuwa na Agenda yakupokea Taatifa zamaendeleo zakata ,diwani wa kata ya Kikwe Paul shangwe alisimama na kuomba mjumbe huyo Digna Nasari viti maalumu kata ya maruvango kutolewa nje kwani chama chake cha demokrasia na maendeleo chadema kilishamvua uanachama wake na kuja kwake pale hakuwawa na barua yakumtambulisha kama ni diwani kwani tayari alishavuliwa uanachama wake,
Aidha diwani huyo Amesema kanuni ya 21kifungu (h)cha sheria za halmshauri hiyo hakiwezi kujadili taarifa zakata wakati kuna hoja iliyojitokeza ya diwani huyo kuvuliwa udiwani wake hali iliyopelekea kuwepo kwa malumbano kwa baadhi ya wajumbe wa chadema kumtaka Mwenyekiti wa baraza hilo kutumia kiti chake kumtomruhusu kubakia kwenye kikao hali na kudai kutokuwa na imani na Mwenyekiti kwakutokutoa maamuzi.
Mwenyekit wa halmashauri ya wilaya ya meru Willy Njau baada yakuona uwepo wa malumbano kwa zaidi ya nusu saa nakupelekea kutoelewana alisema kwa mujibu wa kanuni ya 18 inamruhusu kutoa maamuzi ya mwisho kwenye kikao hicho licha ya kuwataka Madiwani hao kuwa nasubira kwani suala hilo angelitolea ufafanuzi siku ya kesho ambapo angetoa hotuba yake yaufunguzi,kwani majibizano hayo yanaonyesha utovu wa nidhamu na nikosa kwa Madiwani kukidharau kiti chake.
Akijibu shutuma zakuvuliwa udiwani viti maalumu Digna Nassari kata ya maruvango Amesema nikweli Awali palikuwa na mgogoro na hali kutoelewana kati yake na viongozi wachama chake na maamuzi yaliyotolewa na chama chake hakuridhika nayo nakueleza kuwa ataendelea kuwa diwani.
Ends.....
Dramatic irony nimekuelewa P Mwl wangu wa literature nikiwa o level aliniambia ivyoHuyu DC ni mchapakazi sana na uthibitisho ni huu
.Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Hivyo linapokuja suala la utulivu na amani, Muro hana mchezo kabisa, enzi akiwa mwandishi, alikuwa anatembea na pisto na pingu na enzi hizo alikuwa hana mamlaka ya nguvu za dola, sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, hivyo Arumeru sasa ni heshima adabu.
P
Wewe nawe umegeuka kasuku sasa. Kila kitu kusifia tu ili mradi pana interest na serikali. Penda sana lakini angalia na hoja ya kusifia.Huyu DC ni mchapakazi sana na uthibitisho ni huu
.Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Hivyo linapokuja suala la utulivu na amani, Muro hana mchezo kabisa, enzi akiwa mwandishi, alikuwa anatembea na pisto na pingu na enzi hizo alikuwa hana mamlaka ya nguvu za dola, sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, hivyo Arumeru sasa ni heshima adabu.
P
Mpo humu ili mradi kusema lolote. Hoja ya malumbano umeielewa?Suala la amani,ulinzi na usalama ni suala la kuhakikisha linadumu kwa nchi. halmashauri hiyo si inaongozwa na CHADEMA? ni mkakati gani CHADEMA mmekuja nao kuleta fujo?
Huu ujinga wenu Wa kuivuruga amani kisha mjidai kuirejesha kwa mbwembwe na kamera nyingi IPO Sikh utabuma!Suala la amani,ulinzi na usalama ni suala la kuhakikisha linadumu kwa nchi. halmashauri hiyo si inaongozwa na CHADEMA? ni mkakati gani CHADEMA mmekuja nao kuleta fujo?
itawachukua watu muda kuelewa anachoandikaMkuu huyu Pasco anaandika kwa mtindo wa kejeli.
Huyu DC ni mchapakazi sana na uthibitisho ni huu