DC Mnyeti ataka waandishi wa habari wapigwe

Hawa jamaa ndo maana hata wakipata ajali watu wana like tu. Yaani as if hawatokufa hivi.. Eeen Mungu, yaani nchi zooooooote ukaona Watanzania ndo tutawaliwe na hiki chama kweli? Mungu najua unaona mateso yetu ila tafadhali sana tupunguzie nira hii, imekua nzito mnoo shingoni mwetu,, Eenh Mungu wa Abraham, Isaka na Yakobo, tazama utawala huu ulivyo, tusaidie waja wako.
 
Mnyeti ni jembe hapendagi ujinga....safi chapa vibao hao makanjanja
 
Duuh,kama yote kayaongea basi we have a long way to go.

sishangai ndio bwana yule anapenda kusikia sauti za mwituni kama izo

baadae atasema mniombee wakati chuki na choyo imejaa kifuani kwake
 
ae63e71f0f30d32f8933d3dd12a43cc6.jpg
kama ni huyu basi vetting ilifanyika ipasavyo. Duuuh awamu hii kiboko
 
Tutachunguza na ikibidi kupitia uhusiano wa DC Mnyeti na vyombo vya Habari kwa kumpa fursa ya kufahamu kuwa hayuko juu ya Sheria na kwamba nchi haiendeshwi kwa matamko, bali kwa Sheria zilizotungwa na Bunge.

Balile
 
Aliteuliwa kutoka kuwa mkuu wa shule ya sekondari iliyoko huko mwanza ,wilaya ya misungwi shule inatwa igokele sec school akapewa ukuu wa wilaya ilikuwa from zero to hero.
Duuuh kama ni misungwi sawa. Maana Bashite, gwajima, mnyeti, Kitwanga hizi namba ni noma kudadeki halafu zote zinatoka misungwi na yawezekana wote wanatoka kolomije
 
Me natamani hata Kila DC awe anachapa Waandishi wa Habari mana Nao hawa ni Mara nyingine huwa Hawajielewi!!!!

Naunga Mkono Hoja kwa Kauli mbiu Yetu ya HAPA KAZI TU
Mnaunga mkono mpaka pale kinapowagusa, sawa na zoezi la uhakiki wa vyeti.
 
1. Makonda
2.Gambo
3.Mnyeti
Haya ndio majembe yatakayoivusha nchi ya Bwana yule amini usiamini kama Bwana yule anavyoamini bila kutoamini.
Makonda, mnyeti, gwajima, kitwanga wote wa Misungwi,wilaya hii inabd ichunguzwe.
 
Mteule huyu huenda akawa na allergy na waandishi wa habari au "ukichaa " unamnyemelea.
 
Back
Top Bottom