DC Makonda apigwa changa la macho Kinondoni

DC Makonda apigwa changa la macho Kinondoni

huyu ataaibika kwa mengi sababu ya nafasi ya dezo....nitarudi baada ya siku si nyingi hapa
 
Tutashuhudia mengi yatakayompata dc makonde, haa haa kumbe ainaitwa paulo..
 
ningeweza kuwashauri wanajamvi bahati mbaya sifahamiki jina la makonda lifungiwe hapa jamvini napata kero mie ataa
 
Aliyepata kapata tu,
Mengine yatakuwa sawa huko huko ofisini.
 
Hanaga point ndio maana wanamchukulia poa sana...
 
Aliyepata kapata tu,
Mengine yatakuwa sawa huko huko ofisini.



mdau badirika tofatisha uongozi wa umma na majaribio ya kuoja sumu.uongozi ni hekima na uwezo si kwamba mtu akioata basi kusiwe na maboresho hat kama hana uwezo
 
Back
Top Bottom