DC Makonda apigwa changa la macho Kinondoni

asanusye

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
216
Reaction score
131
Wakuu baada ya siku kadhaa kupita baada ya DC MAKONDA kuapishwa,tayari anepokelewa kwa dharau ta hali ya juu....kesho kutwa tarehe 28.2.2015 ameitisha kikao cha mashauriano cha wilaya DCC,kupitia na kushauri bajeti ya halimashauri ya kinondoni 2015/2016.

Tofauti na Taratibu zilivyo kwamba kikao cha mkuu wilaya cha mashauriano kilipaswa kukaa siku kadhaa kabla ya baraza la madiwani kupitisha bajeti ya halmashauri.akiwa kama mkuu wa wilaya kushauri na kuweka mapendekezo yake ya kiutawala ili zitengewe fedha na mipango kwa bajeti ijayo.

Hilo watumishi wa wilaya ya kinondoni na manispaa kwa ujumla wamemuandalia danganya toto kesho kutwa ikiwa kama kikao cha DCC kushauri bajeti huku wakijua fika kuwa bajeti imeshapitishwa tangu tarehe 21.2.2015.

na kwamba lolote litakalo jadiliwa halina nafasi tena ya kuingia kama mapendekezo.

Hivyo imekuwa ni mtihani kwake kukutana na fedheha hiyo
 
Acha adharauliwe tu kwani alianza kujidharirisha mwenyewe alipokuwa mjumbe wa binge LA katiba kwa kukwapua simu ya mjumbe mwenzake na zaidi kumshambulia Jaji mstaafu Mzee Warioba. Kwa matukio hayo name mengineyo lazima laana imshukie.
 
Wakuu baada ya siku kadhaa kupita baada ya DC MAKONDA kuapishwa,tayari anepokelewa kwa dharau ta hali ya juu....kesho kutwa tarehe 28.2.2015 ameitisha kikao cha mashauriano cha wilaya DCC,kupitia na kushauri bajeti ya halimashauri ya kinondoni 2015/2016.
Tofauti na Taratibu zilivyo kwamba kikao cha mkuu wilaya cha mashauriano kilipaswa kukaa siku kadhaa kabla ya baraza la madiwani kupitisha bajeti ya halmashauri.akiwa kama mkuu wa wilaya kushauri na kuweka mapendekezo yake ya kiutawala ili zitengewe fedha na mipango kwa bajeti ijayo.
Hilo watumishi wa wilaya ya kinondoni na manispaa kwa ujumla wamemuandalia danganya toto kesho kutwa ikiwa kama kikao cha DCC kushauri bajeti huku wakijua fika kuwa bajeti imeshapitishwa tangu tarehe 21.2.2015.
na kwamba lolote litakalo jadiliwa halina nafasi tena ya kuingia kama mapendekezo.hivyo imekuwa ni mtihani kwake kukutana na fedheha hiyo
sasa ulikua na haja gani ya kuileta humu muda huu??

ungesubiri changa lipite ndio ulete hizo ndude

huwezi kumpiga adui kwa kutwa kutangaza mbinu zako
 
Acha adharauliwe tu kwani alianza kujidharirisha mwenyewe alipokuwa mjumbe wa binge LA katiba kwa kukwapua simu ya mjumbe mwenzake na zaidi kumshambulia Jaji mstaafu Mzee Warioba. Kwa matukio hayo name mengineyo lazima laana imshukie.

kiruuuu cc Paul Makonda
 
Last edited by a moderator:
Niliwaona madiwani wa Kinondoni wakisakata rumba pale nyumbani park, morogoro wakifurahi kwa pamoja baada ya kazi ngumu ya kupitisha budget. Itakuwa vichekesho kurudia jambo conclusive. ajipange upya mmh.
 
bange bila chakula ni mbaya sana,zimedhohofisha akili ya makonda
 
Acha adharauliwe tu kwani alianza kujidharirisha mwenyewe alipokuwa mjumbe wa binge LA katiba kwa kukwapua simu ya mjumbe mwenzake na zaidi kumshambulia Jaji mstaafu Mzee Warioba. Kwa matukio hayo name mengineyo lazima laana imshukie.

Kumbe ni DC mwizi
 
Unataka kusema kuwa vibaka wa kuiba simu wa Kinondoni wamempata "kubwa lao"? Sasa Kinondoni kaeni chonjo maana sterling wa ukwapuaji ndio katinga maeneo na atakuwa mtetezi wa vijana wake.
 
Niliwaona madiwani wa Kinondoni wakisakata rumba pale nyumbani park, morogoro wakifurahi kwa pamoja baada ya kazi ngumu ya kupitisha budget. Itakuwa vichekesho kurudia jambo conclusive. ajipange upya mmh.

walikuwa kule mbele au huku nyuma? kwenye live band?
 
Back
Top Bottom