DC Kinondoni, Ally Hapi ajivua sakata la Mdee

Mkwaruu umenena; mfano hai ni Kibiti. Miaka michache iliyopita, kabla ya hizi siasa za kugawa watu, haya kibiti yasingepata nafasi.
 
Wapumbavu sana hawa, kazi yao kubwa imebaki kutesa watu wasio na hatia huku majitu yenye hatia tukiambia tuyaache kama yalivyo, inauma sana kuona ukweli unageuzwa uchochezi kwa maslahi tu ya kichama
Not every human being fits the real definition of huma being-Siasa zimetufanya tu-behave kama wanyama.
 
Hata Halima pia ni binadamu naye pia ana ndugu zake waoumia kwa haya yanayotendeka juu yake!!
 
Huyu DC aburuzwe mahakamani haraka sana!! Tundu Lissu, Kibatala, Professor Safari unganeni katika hili! hawa wakutumwa wasiotumia ubongo watatumaliza! Ona sasa polisi wanatupiana mpira ovyo
Usicheze na Rais hata simu moja. Yule ni kiongozi wa watu zaidi ya million 45. Ni MTU muhimu sana kuliko unavyofikiria. Ni amiri jeshi mkuu na wanaomshikilia kwa sasa ni jeshi. Hao wote uliowataja hawana cha kufanya.

Halima Mdee kututukana wote, mwache ashikishwe adabu.
 
hivi ndivyo Polisi wanavyojenga uadui na raia wake!
 
Sjui nikutokujitambua au sjui ni nn,c bungeni wala uraiani ni maonevu tu cdm inawabunge 103 cuf inao karibu arobaini na zaidi NCCR ina mbunge jumla inaweza kufika 150 lkn pia wanao uunga mkono ukawa ni zaidi ya 6ml tena aslimia kubwa ni vijana,ccm ina 8ml, wabunge 200 na mengi mazee lkn unakuta wabunge wetu wanaburuzwa bungeni na wazee sjui ni ujinga au nashindwa nisemeje hata hili uraiani na penyewe ni kunyanyaswa utazani c raia wa nchi hii,kifupi vijana tunatakiwa kujitathimini kisha tuchukue hatua wala haya yasingekuwepo yangeshakwisha zamani lkn m!sjui lbd tumelogwa.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mdee ni halali yake kushikiliwa na jeshi la Polisi, si vizuri hata kidogo kumdhihaki Mkuu wa nchi na kudhihaki kazi nzuri inayofanywa na Rais tena Watanzania asimilia 98 wanamkubali Rais, Mdee ikiwezekana Afikishwe mahakamani na kufungwa hata miaka 7.
 
Hapi ni small potato tu....amri inatoka wapi mnajuwa
Kwani Lema amri ilitoka wapi ?
The big guy now he is judge procecutor police and magereza

Sent from my SGH-I317M using JamiiForums mobile app
 
nimecheka hapo taarifa iliposema kua ameanza kula,....chadema kwa maigizo; mi nilifikiri yuko 'serious' na suala la kutokula!

....Mitanzania mingine bwana yaani furaha yao always ni pale mwenzake, tena mara nyingi yule aliyemzidi kimafanikio, anapopata matatizo, so sad...
 
Huyu jamaa si alikuwa anapita analia makanisani? Yaani ameshika nguvu mbili kwa Mara moja?
 
Huyu DC aburuzwe mahakamani haraka sana!! Tundu Lissu, Kibatala, Professor Safari unganeni katika hili! hawa wakutumwa wasiotumia ubongo watatumaliza! Ona sasa polisi wanatupiana mpira ovyo
Hakuna haja ya kwenda mahakamani ya kibiti yawakute

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Unajua kuna mambo madogo madogo labda ndio yanafanya watu wafurahie mauwaji ya polisi.
 
Halima ni kiongozi jasiri na mwenye uthubutu wa kufanya jambo na kusimamia msimamo wake.
NITAMPIGIA kura Halima Mdee 2020.
 
Hapi halima ni kijana mwenzako. Ungeweze kufanya maongezi nae. Sio polisi. Angalia sasa

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Kwani polisi yenyewe haiwezi? Basi waache kupokea mshahara.
 
Hata Bokassa Idd Amin Saddam Hussein nao walikuwa watu muhimu katika utesaji na uuaji ndiko anakoelekea huyu wa kwetu. Anacho fanya sasa ni robo tu mpaka 2018 chini ya utawala huu nchi itakuwa Uganda ya Idd Amin

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Ila mimi hajanitukana

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…