Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,397
- 3,492
Amejuaje atakuwepo ofisini hadi siku hiyo? Au ana taka kuchukua za mwisho mwisho?Hiyo kibatari haina faida kwa taifa
Hili la control number ni sawa sana.Omba control number ya malipo,ili uchangie kimoyo safi.Usikubali kulipa kwa MTU mkononi wantu wa dili wako wengi.
Weka namba zako tukuchek mkuuHuduma ya kupiga simu tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 3 bado ipo Bei 40000/.
Malipo ni baada ya kazi njoo inbox
Hiyo kibatari haina faida kwa taifa
Amejuaje atakuwepo ofisini hadi siku hiyo? Au ana taka kuchukua za mwisho mwisho?
Usimpe mtu pesa Cash
Mwambie akupe control number
Wamelazimisha kukimbiza mwenge na corona hili duuuu hapana aseee
Kwanini serikali ifanye shuhuli bila pesa ya kuwasumbua wafanyabiashara wanaolipa kodi?
Barua kama hizi hazifai na si za kuamini. Mtu yeyote anaweza kutoa nakala na kuitumia kuwatapeli watu. Wanashindwaje kuwa na data base ya wafanya biashara wote katika wilaya yao ili kila mmoja atumiwe barua kwa jina? Aidha, wanashindwa nini kupanga watu wa kufuatilia ili barua iwataje kwa majina? Hii itaongeza uwajibikaji na kuwapa uwezo wanaoombwa kuchangia wa kuthibitisha uhalali wa maombi hayo. Ni dalili ya uvivu wa kufikiri.
Amandla...
Wewe changia mwenge ukiishapita utauliza hilo swali lakoMkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.
Unaletewa barua ofisini kwako yenye muhuri na saini ya mkuu wa wilaya ili uchangie, ambapo ni kama ombi lakini kwa namna nyingine ni lazima.
Mama Samia ukiwa kama Rais wetu, wakati umefika wa kutafakari na kupiga marufuku mchezo huu, maana najua hata wilaya nyingine watakuwa wanashurutishwa hivihivi. Je hii mpaka lini? Mama tunaomba utoe nenoView attachment 1796599
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, amewabana wafanyabiashara na watumishi wa umma wilayani huko kuchangia mbio za mwenge zitakazofanyika katika wilaya hiyo juni mwaka huu.