Mapema jana Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping alimtunuku Waziri Mkuu huyo mstaafu wa Tanzania Dkt Salim, kuwa miongoni mwa watu waliosaidia nchi hiyo kurejeshwa kwenye Jumuiya ya Umoja wa Mataifa."Kwa dhati naomba nimuombe radhi, Dr. Salim Ahmed Salim na kwa sasa bado yuko na anaendelea na matibabu nchini Uingereza nimeongea na familia, ni bahati mbaya sana chanzo kilichonipa habari hakikuwa sahihi, ninaomba radhi kwa familia na Watanzania kwa ujumla."ameandika Kasesela.
Huyu anatakiwa achukuliwe hatua za kinidhamu haraka iwezekanavyo.yeye ni msemaji Wa serikali?Kulikuwa na haja gani yakukimbilia kutangaza msiba wa watu??? yeye ni msemaji wa familia??? yeye ni msemaji wa serikali??? anastahili kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa udaku
Kihere here cha ku forward, hadi anamchuria mzee wa watu!!!
Kasesela kama Haji Manara msemaji wa familia ya MO!Kulikuwa na haja gani yakukimbilia kutangaza msiba wa watu??? yeye ni msemaji wa familia??? yeye ni msemaji wa serikali??? anastahili kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa udaku
Saizi kila mtu unapenda sifa ya kutaka kuwa mtu wa kwanza kutoa breaking news........sheria ya mitandao vp huko kwenu ipo?
Hiyo sheria walitungiwa Chadema tu.Endapo kama habari hii ina ukweli, KWA mujibu WA Sheria ya Mawasiliano ya Kimtandao ya huko Tz (EPOCA), anastahili kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria ili apewe haki yake anayostahili kulingana na makosa yake