DC Hapi akamata shehena ya mifuko ya sukari zaidi ya 1095

DC Hapi akamata shehena ya mifuko ya sukari zaidi ya 1095

Sasa inatosha kuhusu sukari....twendeni kwenye maendeleo sasa maan sukari haitatumalizia umasikini wa wananchi walio wengi! Tunataka maendeleo
 

"Kama siasa za bongo,Wanaleta Usanii ndani ya jumba la sanaa,Wasanii tunashangaa wakipotea kwetu furaha adui muombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa"
 
Mpaka zile tani elfu 70 zifike nchini tutakuwa tumeshuhudia mengi.
 
M/kiti Kamati ya Ulinzi na Usalama Mh Ally Salum Hapi kupitia Mkoa wa Kiusalama wa Kinondoni Wamekamata Shehena ya Sukari Mifuko zaidi ya elfu Moja na Tisini na Tano.
Sukari hii ikiwemo sukari tuka Nchini India na ile ya Ndani ya Nchi.
150b494550880c9e069cd4665ff59d7d.jpg


007417c50bd3fc5af9ecedb50871d93d.jpg
Drama zote hizi ni kuua soo ya lugumi. watu wameshasahau issue ya lugumi kila mmoja sasa ni sukari sukari sukari
 
mbona sisikii mkuu wa mkoa anaetangaza kuwa kwenye mkoa wake bei ya kilo moja ya sukari ni shs 1,800/-? tunataka kuona matokeo yenye tija sio sura zao kwenye media. ebo!
 
Kweli sukari ilikuwapo,inaonekana hawa watu walitumia njia za makusudi kuficha sukari.
 
Back
Top Bottom