DC Hai ashtukia wizi wa Million 70

DC Hai ashtukia wizi wa Million 70

Sidhani hili kama ni tukio la kweli hii ni movie tu kama movie zingine.

Kwanini aende kukamata mkuu wa wilaya mwenyewe kwani wilaya haina polisi ?

Kwanini taarifa za tukio ziende kwa mkuu wa wilaya na siyo polisi ?

Kwanini taarifa ya tukio iseme mkuu wa wilaya afanikisha kuzuia ujambazi na siyo jeshi la polisi ?

Tumeshawachoka na huu ushenzi wenu ***** zenu
Wanawake wawili wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro wamenusurika kuporwa fedha kiasi cha shilingi Million 70 Mara baada ya Mlinzi Wa Bank kuwauza kwa majambazi.

Tukio ilo limetokea kata ya Masama wilayani Hai mapema tarehe 30 Mwezi November Mara baada ya mlinzi wa kampuni ya Rolling kutoboa siri kwamba kuna wateja wawili kutoka kampuni ya Brack wametoka kuchukua fedha bank ya CRDB.

Mkuu Wa Wilaya Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na kamati yake ya ulinzi na usalama walipata taarifa za mlinzi Huyo kutoboa siri ya fedha hizo ambapo simu yake ilikamatwa na kufanyiwa uchunguzi na kukutwa na meseji zaidi ya 20 akiwaelekeza gari yenye namba za usajili T 412 DPA inayo tumika kubeba fedha kutoka bank ya CRDB huko Sanya juu.

Lengai Ole Sabaya amesema kwamba alipata taarifa hizo kupitia kwa interlijinsia ambapo aliweka mtego kwa mlinzi Huyo na kukutwa akiendelea kupanga njama za namna fedha zitakavyo ibiwa na kwamba wanawake hao awakua na ulinzi wowote Mara baada ya kutoka bank

Sabaya amesema kwamba mlinzi huyo Alishawahi kufungwa Jela na baadae kuachiliwa hivyo anauzoefu katika maswala ya ujambazi pia alihagiza wanawake hao kupigwa Risasi na fedha zichukuliwe kwa urahisi .

Mlinzi uyo Mara baada ya mahojiano alikiri kupanga njama ikiwemo pamoja na kuandika jumbe fupi fupi kwa majambazi watakao vamia na kupiga Risasi hewani na kuondoka na kitita cha fedha kiasi cha shilingi Million 70

"Mimi nilikua nipate mgao wangu na endapo tungefanikiwa Mimi nilisha waambia majambazi wanipige eneo la shingo nizimie alfu baada ya muda nitazinduka pesa za mgao nitakuja kuzichukua Alisema mlinzi Huyo akiwa chini ya ulinzi "

Ataivyo Mkurugenzi wa kampuni Hiyo ya Brack anasakwa na jeshi la Polisi kwa kuruhusu Fedha nyingi kusafirishwa bila kuwepo na ulinzi kutoka kwa jeshi la Polisi au kampuni ya ulinzi jambo limeatarisha maisha ya wanawake hao ambao ni watumishi wa kampuni hiyo.

Hivi karibuni wilayani Hai Mji Mdogo wa Boma Gombe kumekuwepo na mtandao wa fedha bandia ambapo kupitia kamati ya ulinzi na usalama walimkamata kijana Richard akiwa na fedha bandia shilingi Million 11 na kutaja mtandao wanao shirikiana kutengeneza fedha hizo na badae kufikishwa Mahakamani kujibu tuhuma zinazo mkabili
..................................View attachment 1249848View attachment 1249849
 
Huyu sabaya tumeanza kumshtukia anatengeneza movie
 
Comedy hiyo katoka wapi na hao waandishi wa habari istoshe kasahau kuweka police na mabunduki mbele ya kamera
 
Hii ni comedy yuko na wapambe wake hao madogo wawili,huyo askari ameshika bastola kama kashika ufagio
tapatalk_1572528949306.jpeg
 
Huu ni uchafuzi kuwa Hai ni hotbed ya ujambazi. Ana malengo yake huyu dogo . Haiwezekani Mkuu wa Wilaya ndiye ana kamata majambazi halafu anaya kabidhi polisi. Kwa namna nyingine anataka kutuma ujumbe RPC na OCD hawatoshi na kazi imewashinda.
kwaiyo ilo tukio litatokeaa mwezi November 30, itakuwa movie kali, lol
 
Kutoka udiwani hadi ukuu wa Wilaya lazima ujiongeze sana ili kiti kisiyumbe
Huyu ni undercover special agent. Hicho ndio cheo chake kule Arusha cha kugongea bia na nyama Choma.
Serikali imejaa wingi wa vibwengo!
 
hahha huyu tapeli atakua either yeye ndo jambazi MWENYEWE au anapika haya matukio, haiwezekani tukio lingine la pili
tena hili anajifanya eti yeye binafsi ndiyo katega mtego na kulibaini.
 
Uyo DC kawa nani matukio yote ya kiharifu yote yeye ndio anakuwa wa kwanza kupata taarifa kama siyo mhusika na yeye iweje polisi wasijue awe yeye tu
 
Sasa sabaya sisi sio watt yule jamaa wa asante tours uligombana nae kigwangala akaja mpa wasani awapandishe mlima juzi kamkamata richi pale africa pub na note bandia hajapelekwa mahabusu toka akamatwe yupo hapo kituo cha police boma leo kaketa filamu mpya nayo kacheza kizembe
 
Kiki za kishamba hata kama kashtukia alikuwa awatume polisi tuu sasa na yeye kaingia front ya nini ili aonekane anafanya kazi ?
 
Huyu DC hana akili, DC unaenda kukamata jambazi na masharobaro wawili, kwanini hakuweka mtego wa askari hayo majambazi yakamatwe??

Intelligence yangu inanishawishi kuwa DC anatengeneza mazingira ya kuvuta mpunga kutoka kwa mkurugenzi wa hiyo kampuni ndio maana mkurugenzi sasa hivi anatafutwa
 
Back
Top Bottom