Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 189
Hivi jamani mnao watetea hao walimu kwa misingi ya haki za binadamu mnaju na hao wanafunzi pia wana haki zao?
Haki za binabamu ni sababu mojawapo .....soma vizuri post zilizopita kwa sababu zaidi!
mkuu wa wilaya kaamuru walimu 32 tu ndio wachapwe viboko kwani mnajua wilaya yake ina walimu wangapi?
Wewe analysis yako is very poor ...hata kungekuwa na walimu 10,000 akamchapa mmoja, bado tungemshambulia....hata angekuwa nae mmoja, kamchapa huyohuyo tungelia naye tu!
na sababu zilizotolewa kwa kuchapwa hao 32 tu hamkuzielewa?
Usidandie gari kwa mbele.....soma habari vizuri...sababu za kuchapwa zimetolewa!
JK huyu ni mfano wa viongozi wenye uchungu na watoto wa taifa hili mpandishe cheo. Tena ikibidi awe waziri mkuu ili viboko viwashukie mawaziri.[/QUOTE]
Na huyo JK kwa kutuangusha wa TZ kwenye issue kama;
Kutokana na mambo haya maisha ya watanzania yamekuwa ni ya shida mno, so kufuatana wewe na yeye rais tumtandike viboko?
- Inflation 13%
- Pembejeo bei juu e.g mbolea zaidi ya Ths 100,000 per bag
- Migomo ya wanafunzi re. suala la mikopo -80%,60%,40% or 0%
- Mgogoro wa zanzibar - ambao kaushindwa kuupa ufumbuzi
- Usanii kwenye issue za kifisadi re.EPA,Radar,Richmond,IPTL etc
- Ongeza mengine unayo yajua
Nakushauri utulie kwanza kabla ya kuchangia bw' mdogo!
Usitegemea hayo kabisa kutoka kwa ''typical'' walimu wetu wa shule za msingi hasa za huko vijijini......! hawajiamini, hawajui taratibu zao kazi, hawawezi kujitetea kwa sababu wao wenyewe ni vilaza wa kutupwa...most of them ni failures wa f4...sasa what do you expect from them! So hawa inabidi watetewe na wengine wanaojua haki zao kama wewe! We still need them, cause hatuna option for now...hiyo ndo hali halisi ya elimu ya tanzania!
Hivi jamani mnao watetea hao walimu kwa misingi ya haki za binadamu mnaju na hao wanafunzi pia wana haki zao? mkuu wa wilaya kaamuru walimu 32 tu ndio wachapwe viboko kwani mnajua wilaya yake ina walimu wangapi? na sababu zilizotolewa kwa kuchapwa hao 32 tu hamkuzielewa? JK huyu ni mfano wa viongozi wenye uchungu na watoto wa taifa hili mpandishe cheo. Tena ikibidi awe waziri mkuu ili viboko viwashukie mawaziri.
Hivi jamani mnao watetea hao walimu kwa misingi ya haki za binadamu mnaju na hao wanafunzi pia wana haki zao?
Haki za binabamu ni sababu mojawapo .....soma vizuri post zilizopita kwa sababu zaidi!
mkuu wa wilaya kaamuru walimu 32 tu ndio wachapwe viboko kwani mnajua wilaya yake ina walimu wangapi?
Wewe analysis yako is very poor ...hata kungekuwa na walimu 10,000 akamchapa mmoja, bado tungemshambulia....hata angekuwa nae mmoja, kamchapa huyohuyo tungelia naye tu!
na sababu zilizotolewa kwa kuchapwa hao 32 tu hamkuzielewa?
Usidandie gari kwa mbele.....soma habari vizuri...sababu za kuchapwa zimetolewa!
JK huyu ni mfano wa viongozi wenye uchungu na watoto wa taifa hili mpandishe cheo. Tena ikibidi awe waziri mkuu ili viboko viwashukie mawaziri.[/QUOTE]
Na huyo JK kwa kutuangusha wa TZ kwenye issue kama;
Kutokana na mambo haya maisha ya watanzania yamekuwa ni ya shida mno, so kufuatana wewe na yeye rais tumtandike viboko?
- Inflation 13%
- Pembejeo bei juu e.g mbolea zaidi ya Ths 100,000 per bag
- Migomo ya wanafunzi re. suala la mikopo -80%,60%,40% or 0%
- Mgogoro wa zanzibar - ambao kaushindwa kuupa ufumbuzi
- Usanii kwenye issue za kifisadi re.EPA,Radar,Richmond,IPTL etc
- Ongeza mengine unayo yajua
Nakushauri utulie kwanza kabla ya kuchangia bw' mdogo!
Huyo anapigika kirahisi kwa kuwa maboss wake ni thithi! Bado kama miezi 20 tu tutamtundika kwenye ukuta tumsulubu! Ila hawa wateule wake ni ngumu kuwafikia. Lakini tukiamua tunawatimulia mbali, kwani tumesahau hadithi ya "Kibanga amkung'uta mkoloni"??
BIG-UP DC! wamzidi mbona wao huwa wanawacharaza wantu pale wanapofeli so mkuki kwa nguruwe..... kumbukeni enzi za mwalinhu tulipokuwa shule za msingi jinsi tulivyokuwa tunachapa ukichelwa kushika namba fimbo, ukifeli mtihani ama testi fimbo tena bila hata ya huruma... Jamani waliosomba Muhimbili enzi hizo mwamkumbuka Mwl. Ndosi yule baba siku akikuvalia jinsi na tshirt ujue siku hiyo kiama akiwa zamu balaa, mkifeli hisabati mmnae sasa hawa kuchapwa ni haki yao maana wameshindwa kuwafundisha wanetu. Wanachojua ni kuwapa wanafunzi miradi yao wawauzie mwanafunzi akikataa ana chapwa walimu wa vijijini wao ni kuwachukua wanafunzi wakawafanyie kazi zao za nyumbani kipindi cha kilimo wanafunzi wananda pia kufanya kazi ktk mashamba ya walimu . DC kanifurahisha sana wnye kuchukia wachukie but narudia tena na tena DC BIG UP kazi nzuri wengine waige mfano wako.
Hao walimu kama wapo CCM basi warudishe kadi za Chama chao kwani kimewafikisha pabaya na wajiunge na chama kingine chochote ,yaani watu 32 wanarudisha kadi za CCM na kujiunga chama kingine na wengine wanafuatia litakuwa pigo la aina yake.
Mimi naamini kabisa hata wanafunzi hawakubali kwa walimu wao kufanyiwa udikteta kiasi hicho ,kuna haja ya kuandaa maandamano ya wanafunzi kupinga hatua hiyo iliyofanywa na serikali. Kwa maana wacha Kagera uwe ni wa Chadema lakini ukivamiwa na majeshi ya Uganda waTz wote tutakuwa kitu kimoja na kupambana na adui alievamia nchi yetu, ,hivyo walimu na wanafunzi ni kitu kimoja kutokea mhuni wa serikali na kufanya dhambi hakutokubalika katika jamii ya walimu na wanafunzi ni lazima Walimu na wanafunzi wakusanyike ili kupinga ukiukwaji huo ni udhalilishaji mkubwa ambao haujawahi kutokea katika sekta ya elimu.
Mawazo yako mazuri sana ila ushauri wako umeupeleka mahali ambapo sipo. Hao wanaostahili huo ushauri siyo walimu wa Tz. Walimu wetu wana adabu sana, hata ukiwambia wapige magoti na kumsalimia hata mwenyekiti wa kijiji watafanya hivyo tu. Wana heshima bwana, na ni waaminifu sana. Kwa hiyo hapa wataombwa radhi na mwaka huu huu watasimamia uchaguzi wa serikali za mitaa. Ngoja usikie matoke, chama chetu kitashinda kwa asilimia 99. Na mwakani lazima wahakikishe raisi wetu anashinda kwa asilimia zaidi ya 80. Unacheza na walimu wetu nini? Wanaipenda serikali yao kwa sababu nao ni sehemu ya serikali na pia ni sehemu ya tume ya uchaguzi (NEC). Tuwaache tu, DC atamalizana nao sasa hivi na mambo yatakuwa poa. Kwanza ni masuala ya serikali na chama chetu. Hebu acheni kuingilia mambo yetu!!🙄
What is required is Mild Dictatorship. DC amepata uchungu nadhani kwa sababu mbili. Moja wilaya yake kuwa wa mwisho mkoani. Hii ina maana katika KPI zake zinamuharibia. Pili wanafunzi wanaharibiwa future yao kwa sababu waalimu hawakutimza wajibu wao. Waalimu wamekuwa wakidai malipo yao na wamepewa basi ni zamu yao kutekeleza wajibu wao.
Taaluma yangu ni ualimu, lakini hata nilipokuwa chuoni hdai nahitimu mafunzo ya ualimu sikuwahi chapwa viboko hata mara moja, hii imenikera sana hasa ukizingatia walimu hawa ndio wanaoandamana kila siku kudai haki, Dc kawachapa walimu kwa sheria ipi?katiba ipi? kanuni zipi? No anapaswa kuwajibika japo nilishapumzika ualimu miaka kumi iliopita HAPANA