DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!

DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!

Jpm nae Ana teuwa vijana mno Madi DC Sasa wanakua Kama sifa mfano wa Arusha Ana enda club Ana rapu hipapu na huku Ana chalaza watu wazima na wake zao sio maadili ya kazi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Tungepata rais dizain ya huyu mkuu wa wilaya, pengine mambo yangekuwa tofauti. Kusingekuwa na deals za kifisadi huko serikali kwa vile ukigundulika ni habari nyingine kubwa (kama mwalimu anapewa adhabu ya viboko, nadhani fisadis kama BWM, EL, RA, AC hawa wangepata adhabu ya kifo).

Haya ndugu viongozi, mfano wa kuigwa huo katika kuwawajibisha watumishi legelege.

I can't believe you've used ur brain
 
Back
Top Bottom