The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,689
- 2,861
Fix tuu, hivi unaanzaje kumpiga picha mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya? Tena akiwa ameanguka , badala ya kutoa msaada? Navyoona mchezo mzima ilopangwa...ili mkuu aonekane mpiga kazi..