DC Atumbukia Mtaroni

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12814186_1138917682825373_2741920964430780966_n.jpg
Mkuu wa Wilaya ya Moshi#Novatus Makunga"Akisaidiwa kunyanyuka na afisa wa maliasili "Emmanuel Kiyegi"Pamoja na Polisi...Baada ya kudumbukia ktk Mfereji wa Maji'Wakati wakikagua uharibifu Unaofanywa ktk Msitu wa Rau#Huko Moshi Kilimanjaro.
 
Nikikumbuka kale kasomo ka photojournalism hapa na hoja kuu mbili:
1/ Ukitazama vema picha utagundua kwamba kulikuwa na perspective inayoitwa "Catching The Pose (CTP)" hivyo kuna uwezekano mkubwa kwamba mwandishi aliandaliwa kwa ajili ya tukio hilo (igizo) kwa lengo la kutengeneza ncha ya habari (news angle) kusudi umma uone kwamba DC anapiga kazi na anafaa sana hivyo hastahili kuondolewa pindi wakati ukigonga ukuta.
2/Picha haionyeshi kwamba hapo kuna njia ya kuelekea msituni hivyo isingewezekana kwamba angefika mpaka mwisho kupitia mazingira yanayoonekana katika picha. Mimi naamini hiyo ni scenario tu ambayo inawalazimu ma DC na watendaji wengine kufanya show off. Pengine inawezekana lile swali la Ney Wa Mitego likanifaa katika kuhitimisha hoja yangu.
HII SERIKALI YA HAPA KAZI TU INAENDESHWA VIPI, KILA KIONGOZI ANA MWANDISHI?
Ni mtazamo wangu tu!
 
Hii kamba tu anataka Dr Majipu asimwache katika udc hana lolote huyu jipu kama majipu ya bandarini.
 
Nikikumbuka kale kasomo ka photojournalism hapa na hoja kuu mbili:
1/ Ukitazama vema picha utagundua kwamba kulikuwa na perspective inayoitwa "Catching The Pose (CTP)" hivyo kuna uwezekano mkubwa kwamba mwandishi aliandaliwa kwa ajili ya tukio hilo (igizo) kwa lengo la kutengeneza ncha ya habari (news angle) kusudi umma uone kwamba DC anapiga kazi na anafaa sana hivyo hastahili kuondolewa pindi wakati ukigonga ukuta.
2/Picha haionyeshi kwamba hapo kuna njia ya kuelekea msituni hivyo isingewezekana kwamba angefika mpaka mwisho kupitia mazingira yanayoonekana katika picha. Mimi naamini hiyo ni scenario tu ambayo inawalazimu ma DC na watendaji wengine kufanya show off. Pengine inawezekana lile swali la Ney Wa Mitego likanifaa katika kuhitimisha hoja yangu.
HII SERIKALI YA HAPA KAZI TU INAENDESHWA VIPI, KILA KIONGOZI ANA MWANDISHI?
Ni mtazamo wangu tu!
Una matatizo fanya fanya uwaone Wataalamu kabla hali haijawa tete
 
Huyo afisa maliasili nae inaonekana alipiga mweleka kwa style ile,..habari haijakamilika tu!,
 
Hili gazeti huenda likafungiwa ikiwa ni pamoja na mwandishi kufutiwa leseni yake, unampigaje picha 'mfalme wa mkoa' akiwa ametumbukia mtaroni!? Picha kama hizi kawapigeni akina Mbowe na wenzake.
 
Angekuwa Mugabe, hapo kuna watu wangetumbuliwa "majipu" kwa kutomdaka "boss" wao kabla hajadondoka.
 
Back
Top Bottom