sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
Ulisoma guidebook?Hizo si zile maksi za ufaulu alioukataa Prof. Ndalichako?
Tafuta kitu saizi yako. Wacha kung'ang'ania course. Utaumia !!
Ati b+ ndo nini? Continuous assesment au ufaulu wa necta?
Hivi 2Cs ni point nne au sita? Naona thread yako umeileta kama Joke hapa JF haiwezekani upate 2Bs then ukose chuo. 2Bs ni mara mbili ya minimum requirement zinazotakiwa na TCU.Sasa nifanyaje wakati guidebook imesema lazima uwe na point NNE. Yan two c's
Nimemaliza mwaka janaHivi 2Cs ni point nne au sita? Naona thread yako umeileta kama Joke hapa JF haiwezekani upate 2Bs then ukose chuo. 2Bs ni mara mbili ya minimum requirement zinazotakiwa na TCU.
Nisaidieni etiDuuh
2 c' sio sita kweliSasa nifanyaje wakati guidebook imesema lazima uwe na point NNE. Yan two c's
GS C BAM C PHY D CHEM B BIOL B+ F6 2015Umeomba kozi gani, ebu pia weka matokeo yako ya g.s na BAM
Naomba contact zao plzWapigie tcu
Umesoma guidebook lakini?Hajafaulu hapo kk.. Hizo marks za mwaka jana ndugu wala usijisumbue kama ulipangwa chuo mwaka jana ukazingua ndo imetoka hyo.. Nenda diploma