Daz baba

Daz baba

Uyu jamaa ndivyo alivyo hajawahi kuwa mnene hata siku moja tangu video ya nataka wife, nipe tano nk huu ni mwili wake tu
 
Huyu jamaa hajawahi nenepa aisee, toka enzi na enzi yupo tu kama kuni ya porini
 
Itakuwa alitoka kuamka[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Uyu jamaa ndivyo alivyo hajawahi kuwa mnene hata siku moja tangu video ya nataka wife, nipe tano nk huu ni mwili wake tu

hajawahi kuwa na mwili mkubwa lakini Bila kuwa addicted na madawa wembamba unakuwa wenye kunawili!Niliwahi kutana nae Njombe akidai ameenda kwenye nyumba yao!Amechoka anaishia kuomba nauli ya Makambako ......!Jamaa ni Classmate wangu shule ya Msingi (Jina La Katuni)Temeke,tukaachana baada ya yeye kwenda Jite Ute!!Alikuwa na career nzuri kimuziki japo ndio hivyo uliomfelisha kidato cha Nne
 
Uyu jamaa ndivyo alivyo hajawahi kuwa mnene hata siku moja tangu video ya nataka wife, nipe tano nk huu ni mwili wake tu
Na Marehemu, kitambo.

Ishakuwa SOO...

Mtaani kashifa kibao...

NGWEA nimeshaamua sasa MILUPO noo...

Nahitaji Honey, Mwandani aendane nami...

Kuanzia tabia mpaka vitu fulani, yaani ikiwezekana apandishe hata MAJANI...

Na asiwe anaboreka anapokuwa nami...

Awe anakata VIUNO aliefunzwa UNYAGONI...

Awapo KITANDANI anipe BURUDANI...

Awe mwenye LIPS pana
...

Na maana ndio moja ya vitu vinavyonichanganya...

Akicheka ana MWANYA...

Sitokuwa na cha kufanya zaidi ya kumpenda sana
 
Uyu jamaa ndivyo alivyo hajawahi kuwa mnene hata siku moja tangu video ya nataka wife, nipe tano nk huu ni mwili wake tu
Kweli hajawahi kunenepa!
13083fdd2c7345958d3f416cf1707fa9.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom