washakufaSiku hizi JF kwa maono yangu kasi ya threads na uchangiaji umepoa sana ukilinganisha 2024 kurudi nyuma
(Au mabadiliko ya apps ndio yamenitoa katika mstari, ile experience siipati tena!?)
Lakini pia niulize hawa watu bado wapo Jf
Umughaka
Mpwayungu
Analyse
Extrovert
Financial services
Na wengineo.......
Jf kitambo sana madamme na bado unaupiga mwingi. Hongera
Nipo mkuu napiga stori na wajukuuJf kitambo sana madamme na bado unaupiga mwingi. Hongera
Hahaha naona kizazi chako kimeadimika; enzi hizo nyie ndio masista duu wapi inna; sakayo mother confesser, amu,hornet, shunie, mzigua nk.Nipo mkuu napiga stori na wajukuu
😁😁 Hatuwezi kupotea wote, lazima wachache tubaki kurithisha mila kwa vizazi vinavyofuataHahaha naona kizazi chako kimeadimika; enzi hizo nyie ndio masista duu wapi inna; sakayo mother confesser, amu,hornet, shunie, mzigua nk.
Kuna avatar yako moja, siku hizi naona umebadilisha. Ile ya mume kunyweshwa na bibi harusi bila kumtazama usoni. Ilikuwa inaonyesha wazi bibi harusi alikuwa anafunga ndoa na mtu hampendi. Ilikuwa inafikirisha sana.Nipo mkuu napiga stori na wajukuu