georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,881
We kukuruka tu lakini mwishowe ni kukwaa ngoma. Na ndoa utaiskia kwa wenziohahahaha hao Tamwa nawatafuta kikazi zaidi,asikwambie mtu mie nikisimama barabarani hata muda huu sikosi foleni ya watakaotaka kutangaza nia ya ndoa,lakini nataka nikukurukeeeeeeeeeeeeeee nikiingia huko aaaah kiroho safi kabisa mikono nyuma nakuwa mama kweli.