Day 4: Wananchi Geita waendelea na maandamano

Day 4: Wananchi Geita waendelea na maandamano

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
239
Reaction score
1,056
Hii ni jioni ya leo, Novemba 01, 2025.

Pamoja na matokeo kutangazwa, wananchi hawaonekani kuridhika

 
Mabepari wa kitaifa mapapa (national bourgeoisie) na mabepari uchwara (petite bourgeoisie) wanapitia changamoto za kuwa chawa wa CCM

Neno"ubepari wa kitaifa" a.k.a mapapa national bourgeoisie inarejelea tabaka la wajasiriamali wa ndani au biashara katika taifa linaloendelea au lililokuwa likitawaliwa na koloni ambalo linakuza uhuru wa kitaifa na maendeleo ya kiuchumi juu ya maslahi ya kigeni. Tabaka hili linaonekana kuwa ni nguvu ya kimaendeleo dhidi ya ubeberu lakini pia linatazamwa kwa mashaka, kwani linaweza kutanguliza mamlaka yake na kuwanyonya wafanyakazi, wakati mwingine kuchukua nafasi za watawala wa kigeni baada ya uhuru.

Wasanii, wabunge, mangimeza waajiriwa serikalini, wafanyabiashara wadogo n.k ni kundi la mabepari uchwara
1762010442217.jpeg

Naona wale petite bourgeoisie waliochangia Bilioni 80 kwa uchaguzi wa CCM wanatembelewa kusalimiwa ...baada ya kuchangia mabilioni kwa mabango, T Shirt, Kofia, kanga, usafiri n.k

View: https://m.youtube.com/watch?v=P-ddmuVWPao
Petite bourgeoisie mabepari uchwara (wadogo) nitabaka la kijamii, ambalo mara nyingi huitwa "mabepari wadogo," linaloundwa na wamiliki wa biashara ndogo ndogo, wauza maduka, mafundi, na wasimamizi ambao ni tofauti na tabaka la wafanyikazi (wafanya kazi) na tabaka la ubepari (mabepari).. Kihistoria, ilirejelea tabaka la wamiliki wadogo, na katika sosholojia ya kisasa, mara nyingi hutumiwa kuelezea tabaka la tabaka la kati ambalo linafanya kazi kwa kiwango cha kawaida na lina miungano ya kisiasa inayobadilika-badilika kwa sababu ya nafasi yake ya mpito kati ya tabaka la wafanyikazi na biashara kubwa.

TOKA MAKTABA:

11 August 2025

Harambee ya CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025


CCM KUCHANGIA HARAMBEE FEDHA ZA KAMPENI

View: https://m.youtube.com/watch?v=O3GVHr_Cr7M

CCM kufanya harambee ya kuchangisha fedha za kampeni kesho. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema Kamati Kuu ya chama hicho imeamua kufanya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kukiandaa kuelekea kampeni za Uchaguzi Mkuu zitakazoanza Agosti 28 hadi Oktoba 28, 2025.

Akizungumza leo, Jumatatu Agosti 11, 2025, katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam alipokutana na waandishi na wahariri wa vyombo vya habari, Dk Nchimbi amesema harambee hiyo itafanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Dk Nchimbi amesema kwa sasa CCM ina wanachama 13.19 milioni waliowasajili kupitia mfumo wa mtandao.
 
Nchi hii tunaishi kwa mazoea tu
 
Hivi kwa nini vituo vya mafuta vya Lake Oil ndio vimekuwa targeted sana? What is the motive behind? Mbona sio Puma, Total, Oryx etc?
 
Back
Top Bottom