Nimefanya hard reset sijui Mara ngapi mpaka nikaipeleka kwa fundi naye akapoteza headphone jack!Je umejaribu kufanya hard reset kwenye simu yako... Unapofanya hard reset unaifanya system yako kusahau errors ndogo ndogo na kubwa zinazohusiana na software hivyo
Nataka Ku update Xperia z1 compact kwenda kitkat maana update zimetumwa Ila inataka pc companion sasa Hapo kwangu imekuwa ngumu update.
Kama una tatizo lolote na Sony Xperia yeyote tujuze tukusaidie
(Huduma hii haipo kwa simu za Sony Ericsson)
Hapo utaitaji ftf file la Sony Xperia Z1 Compact,, sasa inabidi uhakikishe kama model number ni d5503 au vinginevyo.. Baada ya kupata .ftf file utahitaji Sony Flashtool tool kwa ajili ya kazi nzima ya kuinstall hiyo Android Lollipop mkuu..Nataka Ku update Xperia z1 compact kwenda kitkat maana update zimetumwa Ila inataka pc companion sasa Hapo kwangu imekuwa ngumu update.
Naomba uniambie ulipo nije unibadilishie hiyo sim card slot....sijui niandae shs ngapi mkuu?huku kwetu hamna hizo accessories
Sony Xperia Z3 inagoma kusoma memory cards,tatizo linaweza kuwa ni nini? Nimeweka memory ya 2GB ikagoma kusoma. Inanipa ujumbe wa "the memory card is defected" lakini memory hiyo hiyo ninapoiweka kwenye simu nyingine inasoma bila tatizo.
yangu ni sony xperia tipo ST21i,tatizo haiwez ku copy na ku paste msgs...msaada tafadhali
screen za ya Sonny Experia XP inapatiana wapi na ni bei gani kubadilisha..yangu imevunjika
Mkuu nina Sony Experia T2 tatizo lake inagoma kutouch upande wa juu kabisa wa screen,kama inch moja hivi
Ni Android 5.0.1 mkuu?Ninatumia sony xperia z1 compact na nimeshatumiwa update za android lollipop. Hata hivyo mpaka sasa nimesita kupdate kwa kuwa nimejaribu kusoma mtandaoni na kuona kwamba malalamiko ni mengi sana kuhusu update hii kuanzia kumaliza betri kwa almost half the time of kitkat kamera kutofanya kazi nk. Unaweza kufafanua hii inakuwaje. Hasa hili la chaji ndio linaniumiza kichwa
Sony Xperia Z Ultra haina sehemu ya ku reatart ina screen take na switch off
Ni Android 5.0.1 mkuu?