Hii itakua software issue cha kufanya jaribu update YouTube App, ikigoma basi fanya factory reset kupitia recovery ya simu yako..
Utazima simu, then utashikilia Volume Down+Power Button.. Hii itakupeleka kwenye Bootloader ambayo nu screen nyeupe itakua ni details kama Code Name ya simu yako (One S ni VILLE)
Kwenye Bootloader utashuka chini kwa kutumia Volume Down button then Select Recovery kwa kutumia Power button (Hakikisha umefanya backup ya kila kitu kabla ya kufanya hard reset)