Dawasa wanunua kigamboni

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,333
3,896
Jamani hawa DAWASA vipi , sisi wakazi wa Kigamboni wakati tunangoja wawekazaji tupatane nao wao kwa haraka haraka wanawahi kununua nusu ya Kigamboni kwa bei karibu na bure. DAWASA wanahitaji eneo hilo kwa ajili kuchimba visima vya (mafuta?) Kitwana Kondo uko wapi, wanatumaliza.
 
unaonekana una hasira kwani ulikuwa unataka kiasi gani na jamaa wamelipa bei gani je we unanyumba sehemu iliyonunuliwa embu tusaidie with more information tujue umeonewa vipi raia mwenzetu maana ulichotupa 'Jamani hawa DAWASA vipi?' as if wameingia from no where we mwenzetu ulikuwa unategemea ulaji mwingine kabisa na umemalizia wanawamaliza unamuhitaji Kitwana Kondo haraka. ila pole
 
..walitangaza kununua eka moja kwa mashamba yaliyobaki baada mradi wa viwanja kwa shilingi milioni tano! Joto liliposhuka wanatangaza 2.5 lo! Fidia ya nyumba wanazijua wenyewe, tunamngoja Director arudi kwenye warsha ARUSHA ndo atatuletea bei anavyoona.., pia watatupangishia nyumba (sijui za level gani!) kwa miezi mitatu du baada ya kutuhamisha!
 
Back
Top Bottom