Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,637
- 3,350
Kumekuwa na.matatizo makubwa ya kukosekana kwa maji katika.jiji la.dsm. Dawasa sijui mnatuambiaje au na nyinyi ni majipu mnayohitaji kutumbuliwa? Maji hata hiyo alfajiri hatuyaoni sababu ni nini haswa