Dawasa makao makuu dar........

Tody's vision

Member
Sep 10, 2011
14
2
Wadau nimekuwa nikitafuta ofice za hawa jamaa kwa muda mrefu na kila nnaye muuliza ananielekeza DAWASCO Iliyoko posta ambao ni sehemu tu ya DAWASA ila cjafanikiwa kupata ofisi za DAWASA nackia wako KIJITONYAMA mwenye info zaidi plz nijuzeni ni muhimu sana
 
Jukwaa, kichwa cha habari na maelezo yako nadhani sikuelewi
unataka nini!?
kazi??, office za dawasa?? au dawasa makao makuu???
 
Hili suala huwachanganya wengi.
Dawasco sio kampuni ndogo ya DAWASA,hivi ni vitu viwili tofauti.Dawasco ni kampuni inayosimamia usambazaji maji jijini ,ilirithi mkataba wa CITY WATER.DAWASA ni Agency ya serikali inayowasimamia Dawasco_Ofisi za DAWASA ziko Mwananyamala Mkabala na Hospitali ya Mwananyamala ubavuni mwa ofisi za Ardhi za jiji pale mwananyamala.Ile njia ya lami inayotokezea Kinondoni kanisani kama sijakosea.Kwa wapenda shortcuts wanaijua.
 
mwananyamala... mkabala la mwananyamala hospitali barabara ya lami inayokuja tokea huku biafra
 
mwananyamala... mkabala la mwananyamala hospitali barabara ya lami inayokuja tokea huku biafra
Makao makuu ni pale Moroko nyuma ya jengo la jipya la airtel. Ukifika ulizia wenyeji pale watakuonyesha.:lol:.
 
si moroco, hiyo ya moroco ni DAWASCO kinondoni, DAWASA NI MWANANYAMALA
Makao makuu ni pale Moroko nyuma ya jengo la jipya la airtel. Ukifika ulizia wenyeji pale watakuonyesha.:lol:.
 
Back
Top Bottom