Njoo nione dawa ipo.
nyma kumejaa njoo huku pembeni.MIAnipo nyuma yako
Ahsante sana kwa ujumbe huu mkuu!Alaaniwe mtu yule amtegemeae mwanadamu,na amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake.
nyuma yake unafanya nini wewe?nipo nyuma yako
Habari?,rejea thread yangu yenye kichwa: JAMANI MAPENZI YATANIMALIZA NISAIDIENI PLS (nimeshndwa kuicopy hapa kwa kuwa natumia simu hvyo yeyote anaweza kunisaidia). Jaman nimembembeleza,nimeomba na kujishusha sana asiniache kwa kuwa nampenda sana lakini imeshindikana na jana kanitumia msg NISAMEHE KWA YOTE WANGU ILA BORA KILA MMOJA AWE UPANDE WAKE nilipomuuliza kwanin?,akajibu,SINA FURAHA KTK RELATION YETU NA NINAOGOPA FURAHA ISIPORUDI NTAKUWA NIMEPOTEZA MUDA WAKO. Kiukweli nimeumia sana,nmeshndwa kula toka jana asbh na sijalala usiku kucha,kiufupi nateseka sana mpaka nimefikiria kujidhuru..nikaona hapana bora nijaribu kwa hawa WAGANGA wa kienyeji pengine watanisaidia kurudisha penzi langu. Jamani hivi kweli dawa hizi zinafaa?,nisaidieni nifanye nini nateketea mwenzenu.