Dawa za kutongozea wasichana zinataka kunipeleka pabaya

Dawa za kutongozea wasichana zinataka kunipeleka pabaya

naomba kujua idadi ya wake za watu uliotembea nao mkuu....!!!!!
na uliwatongoza ilihali unajua kuwa ni wake za watu..!!!!!
 
Pooooooooooooooooooooooooooooooo mimi sio mshirikina naona PM za kutosha mimi bwana dawa sina alafu kumbe watu wa DSM ni wanga hivi mbona wengi hivo ____________ Daaaaa watanzania kwa kupenda vitu vya giza ni shida
 
Kumbe bila dawa za babu ni domo zege teh teh teh!!!
 
Mwanangu naomba hiyo dawa. But isihisishe ndumba tu na.matunguri kuna mtoto ananisumbua sana kalenda nyingi utadhani natafuta gold baharini
 
Biashara matangazo! Mie unipati ng'ooo na 30's yanguu simshobokei mtuuu kamwee japo kupenda najuwa!
 
hiyo dawa ni noma, mimi ninayo inaitwa upendo nilipewa na grandpa Morogoro, ni ya unga unachanganya kwenye mafuta ya kupaka, hiyo yangu unaweza kuapply kwa job, nimeifungia kabatn maana ni majanga
 
Jamani wana jamvi,

Mimi na umri wa miaka 26 babu yangu alinipa dawa ambayo inauwezo wa kumshawishi msichana au mke wa mtu kukubali kila kitu unachomwambia. Dawa hii imenifanya nitembee na wanawake wengi sana nusura kuyaweka maisha yangu matatani. Nataka niachane na dawa hii ila tatizo nikikutana na msichana yoyote mazuri natamani niitumie ili nimpate.

Naomba msaada wana jamvi ili niachane nayo.

Naomba unijibu maswali haya...
1. Mama ako ni mke wa baba yako, je hiyo dawa iliwahi kuleta matokeo hayo uliyoyataja pale ulipokutana nae..?
2. Bibi yako ni mke wa babu yako..je dawa ilifanya kazi yake uliisema hapo juu..?
3.Dada zako na shangazi zako ni wake za watu wengine ( mashemeji na wajomba zako) je hiyo dawa kweli iliwakosa kosa...?
4.Mama mkwe wako naye ni mke wa baba mkwe wako , je hiyo dawa ilitekeleza lengo pia na huko...?

sababu za kukuuliza ni kuwa , hao niliowataja ni wake za watu wengine , hata kama wewe una waita majina mengine.
pili wao pia ni wasichana wazuri kama walivyo wasicha wengine wale wazuri.
 
Tutaaminije mkuu kama unayokweli dawa ya aina hiyo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom