Dawa za kutongozea wasichana zinataka kunipeleka pabaya

Dawa za kutongozea wasichana zinataka kunipeleka pabaya

Hahahahaaa..mwanangu hii picha yako inanichekesha xana kila nikiiona dah..mi schangii mada ila hii picha 2 ndo inaniua
 
Hiyo dawa ili uweze kuacha ni mpaka umtafute mtu kwa hiari yako akulawiti au subiri siku si nyingi utafumaniwa na mke wa mtu alafu watakaokufimania watakulawiti. Kazi unayo ulitumia dawa bila kusoma masharti sio?
 
weee... usiache kuitumia wala nini, we endelea kuwafyatua tu mpaka kieleweke. wanaosema uache wanakuonea wivu tuuu.
 
Atarest in peace.. .
mwacheni tu mika 26 anajifanya haujui IKIMWI
mambo ya kizamani kabisa hayo kuwapanga wanawake au wanawake kuwapanga wanaume kwa Idadi
je ifudi ukiambiwa katika hao 10 uliotembea nao 7 wameathirika utarudi tena Jukwaani kuwa Babu yako anayo dawa?
 
Jamani wana jamvi,

Mimi na umri wa miaka 26 babu yangu alinipa dawa ambayo inauwezo wa kumshawishi msichana au mke wa mtu kukubali kila kitu unachomwambia. Dawa hii imenifanya nitembee na wanawake wengi sana nusura kuyaweka maisha yangu matatani. Nataka niachane na dawa hii ila tatizo nikikutana na msichana yoyote mazuri natamani niitumie ili nimpate.

Naomba msaada wana jamvi ili niachane nayo.
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja
mmasai aliyeachiwa urithi wa ng'ombe 200 na babu yake
kwa sasa ni miongoni mwa matajiri hapa mjini.
sasa na wewe babu yako kakurithisha alichokuwa nacho
bahati mbaya hakujua kwamba anakuachia majanga
katika ulimwengu huu uliojaa majanga ya magonjwa.

Hata hivyo kimbilia nyumba za ibada
waeleze wanaweza kukusaidia kuondokana
na huo urithi poyoyo.
 
Kumbe mnatumiaga ndumba? Kwani kutongoza bila dawa ulishindwa?
Si unakumbuka ule msemo wa fedha
feki kununulia bidhaa feki.
siku hizi wadada nao hawako nyuma kwa dawa
za mapenzi,patamu hapo wenye ndumba
wawili wakikutana,mapashikuna wa umbea
lazima wazimie,maana wawili hao wanakuwa
wamelogana sijui hapo upendo huo unakuwa na nguvu
 
Jamani wana jamvi,

Mimi na umri wa miaka 26 babu yangu alinipa dawa ambayo inauwezo wa kumshawishi msichana au mke wa mtu kukubali kila kitu unachomwambia. Dawa hii imenifanya nitembee na wanawake wengi sana nusura kuyaweka maisha yangu matatani. Nataka niachane na dawa hii ila tatizo nikikutana na msichana yoyote mazuri natamani niitumie ili nimpate.

Naomba msaada wana jamvi ili niachane nayo.

Hahaha! Things like that happens only in Africa. Vipi una dada ako yeyote mzuri. ? Jaribu ku apply hapo tuone kama itafanya kazi. Eti unasema "Mimi na umri wa 26" soma vzr hiyo sentensi then jifunze kiswahili na kuandika ndyo uje tukusaidie nini cha kufanya.
 
Nili Inbox nkushauriii kituuu ndugu yangu usiacheee. Kabisa
 
Bado mumshauri mnaitaka dawa duu ila father wako sio kabisa kila kitu kinataka maamuzi kijana amua tu uache hayo mambo maana ni shirki hiyoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom